Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Kwa wapenzi wa hizi gari kuna plani kuileta upya mtaani ambapo mwaka 2019 au 2020 Landrover defender itarudi mtaani. Land rover defender ilianza kuundwa mwaka 1983 mpaka uzalishaji wa aina hii ya gari ulipoachwa mwaka 2016.
Nakumbuka enzi hizo nikiliona najua Polisi ama mkuu wa Wilaya anapita (usiniulize wapi? 😀)
Land Rover Defender ya mwisho kuundwa ilikua kwenye kiwanda cha Solihull plant huko Uingereza, January 29, 2016. Picha yake ni hii hapa ⬇
Land Rover DC100 itakua hivi: