Land Rover Discovery 3 Vs Subaru Forester XS

Mjomba (Subaru) Ni Mama (Toyota). Usihofu
 
Gari kuwaka moto mara nyingi ni pale watu kukosea kufunga ground waya [emoji51][emoji51][emoji51]wabongo hata Digital voltmeter hawatumii wanaotea tuu
 
Gari zingatieni model yake nikimaanisha Umri hiyo gari ya 2005 na 2023 tofauti ya miaka ni mingi sana shida gari za 2014 au 2015 kodi yake ni kuanzia 26m na unapata Discovery 4 ambayo utakua umepunguza usumbufu kwa kiasi kikubwa sana...tunanunua magari yakishakua machakavu harafu tunakuja kulalamika hizi gari mbovu huku dashboard ikisoma Mileage nyingi pia..
 
Gari kuwaka moto mara nyingi ni pale watu kukosea kufunga ground waya [emoji51][emoji51][emoji51]wabongo hata Digital voltmeter hawatumii wanaotea tuu
Ni mfumo unaosaidia kudhibiti mkondo wa umeme(electric current)ili kuilinda circuit hasa kwenye accidential situation.Sasa mafundi wetu utasikia hiyo haina tatizo mbona gari ya Mwakibibi ina miaka kibao inadunda tu[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…