Land Rover Discovery 4 - Mega thread

I've owned a few. It's the worst brand there is. Not just my words hizo ni reviews za experts worldwide.
Every car has its own weaknesses but landrover does not have a good reputation at all, especially hizi za miaka ya baada ya 2000s. It wont stress you if you can splash cash on maintenance and do not mind frequent visits to the mechanic. I like them but scared to own one
 

Exactly. The mechanic has to be on speed dial.
 
Zimeanza kurudi toka Arusha 🤣 🤣 🤣

 
Range Rover ndio gari pekee inayoweza kukufanya wewe na fundi wako mkatafute fundi…
 
Reactions: Tsh
Disc 3 na 4 kwa sasa ziko nyingi tokea miaka 3 au 4 iliopita,watumiaji ndio watatueleza madhaifu ya hizi gari,kwa takwimu za haraka haraka ni kuwa zinazidi kununuliwa kwa kasi ya ajabu,naona huu sasa ni wakati wale wakosoaji mmeanza kuumbuka,kwa experience nilionayo hii gari ni moja ya gari nzuri sana,gari yoyote kama haifanyiwi maintanance inavyopaswa lazima ikusumbue tu,ukileta humu comments za wazungu wa huko ulaya wakipondea,hata huko kwao wazembe wapo wasiofanya maintanance inavotakiwa,ukitaka kuamini hizi gari ni nzuri ingia kwenye groups za owners wa hizi gari kwenye internet ndio utaelewa,msitulishe matango pori,kama mmeamua kuwa timu Japan kaeni huko huko...
 
Huyo fundi ni FUNDI MAIKO!

Fundi maiko anatengeneza gari zingine bila shida ila ukipeleka haya makopo wewe na yeye maanza kazi ya kutafuta fundi upya na huwa hayaponi 😅 Resale value yake Ipo chini sana.
 
Hlw....kuna uwezekano wa kupata d2 south ya manual ila kabla haijaletwa bongo ibadilishwe engine iwekwe td300
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…