Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Ndiyo inauzwa kibiashara🤣🤣🤣
Arusha nayo inafanyiwa Promotion ianze kuuzwa kama kwenye Royal Tour
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo inauzwa kibiashara🤣🤣🤣
Arusha nayo inafanyiwa Promotion ianze kuuzwa kama kwenye Royal Tour
Achana na uelewaKwa uelewa wangu. Festival
Sina uhakika kama Arusha inaongoza kwa watu wanaopenda Land Rover, lakini hata kama ni hivyo je Kigoma wafanye Treni Festival??Kwa uelewa wangu. Festival ni tukio au sherehe inayofanyika kwa sababu maalum, kama vile sherehe za kidini, tamaduni, au matukio mengine ya kijamii. Mara nyingi, festival hujumuisha shughuli kama vile muziki, ngoma, sanaa, chakula, na michezo, na huwa ni fursa kwa watu kujumuika na kusherehekea mambo ya pamoja katika jamii zao. Festivals zinaweza kuwa za kitaifa au za eneo fulani, na zinasaidia katika kuimarisha utamaduni na mila za jamii husika. Na kama umeshawah kufika Arusha, utakubaliana na mimi kwamba inawezekana Arusha ukawa unaongoza kwa watu wanaopenda Land rover (ni kama utamaduni wa wenyeji wa Arusha)
😂😂😂Achana na uelewa
Jina la Event linaitwa Landrover Festival
Hilo ndilo jina lake huwezi geuza ukaita Landrover Parade jina mtu anayeitwa Landrover Festival
Kiutangazaji haiko sahihi
Nani kakudanganya hiyo ni mazima angalia kule kwa Masai. Alafu nashangaa watu wanapongeza ujinga huo kumbe huo ni mkakatiNdiyo inauzwa kibiashara
This parade is set to become the longest pared with 12kmBata tu lakini haina tija yoyote hiyo festival yaani ni kama sub-royal tour tu Arusha inapigiwa promotion kwa Watu wenye hela zao waje kuuziwa. Refer Royal Tour maeneo yaliyotangazwa kwenye ile filamu yote yameshauzwa
Tahadhari na radhi ilishatolewa kwa asiye na landroverMpaka saivi tunahangaika barabarani, kisa haya mambo yao.
Wametupotezea muda sana
Hebu elezea huo mkakati upoje Mr. muchknowNani kakudanganya hiyo ni mazima angalia kule kwa Masai. Alafu nashangaa watu wanapongeza ujinga huo kumbe huo ni mkakati
Poleni sana, kila jambo lina athari zake.Mpaka saivi tunahangaika barabarani, kisa haya mambo yao.
Wametupotezea muda sana
Arusha inapigwa Mnada hapo usitake kupindisha mjadala, walianza na kwa Masai na hiyo inaenda iwe City Centre yao sijui Waarabu sijui watu gani 🤣🤣🤣This parade is set to become the longest pared with 12km
Jumatatu wanaingia Arusha National parkAchana na uelewa
Jina la Event linaitwa Landrover Festival
Hilo ndilo jina lake huwezi geuza ukaita Landrover Parade jina mtu anayeitwa Landrover Festival
Kiutangazaji haiko sahihi
Kwani Royal tour ilikuwaje? Angalia mambo kwa namna ya kipekee acha kufurahia hiyo parade wakati hiyo sehemu inapigwa bei 🤣🤣🤣Hebu elezea huo mkakati upoje Mr. muchknow
Mbona ujerumani,ureno n.k hakujapigwa mnada na festival kama hizi zilifanyika?Arusha inapigwa Mnada hapo usitake kupindisha mjadala, walianza na kwa Masai na hiyo inaenda iwe City Centre yao sijui Waarabu sijui watu gani 🤣🤣🤣
Utaniambia yale ya Loliondo kuhamishwa na kupelekwa Handeni yanakuja hapo Arusha sasaMbona ujerumani,ureno n.k hakujapigwa mnada na festival kama hizi zilifanyika?
utaona tuMbona sioni maajabu yeyote? Londo mbona chache sana hapa TBC live?