Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wazee wengi wa Kisomali walijitolea wakati huo kupatikana kwa Uhuru wetu ingawa wote walikuwa na Passport za koloni la Uingereza
Kuna historia nyingi sana kuhusu hawa wazee ingawa zimefichwa kabisa
Nyerere ameisha lala nyumba zao nyingi Mikoani na hata wilayani wakati anahangaika kupata misaada na michango kufikia malengo
#Mohamed Said jaribu kufuatilia habari ya kuwa wasomali walipewa ardhi kubwa huko Moshi na Waingereza kabla ya Uhuru na kutiliana sahihi ila sasa sio yao tena?