Land Rover ya Sugal Mohamed iliyomtorosha Nyerere asikamatwe

Amehifadhi kumbukumbu za waislamu pekee,kiufupi ni mbaguzi kama faiza fox
Eco...
Unazungumza kitu usichokijua.
Katika kitabu cha Abdul Sykes kuna hawa hapo chini:

1719574898723.png

Steven Mhando
1719574933778.png

Peter Mhando
1719575040930.jpeg

1719575133961.jpeg

Denis Phombeah
1719575258496.jpeg

Dr. Vedasto Kyaruzi​
 
Mzee nimesoma ulichoandika nimegundua yafuatayo:

Kichwa cha habari na mada uliyowasilishwa havina uhusiano nadhani lengo lako ni kumchafua Jenerali Kimario kwa kigezo cha udini.

Umejaribu kuficha dhamira yako kwa ujanja mkubwa sana lakini imeshindikana na ukweli ndiyo huo kuwa hoja yako ni madai ya manyanyaso dhidi ya Uslamu.

Sina shida na mchango au msaada alioutoa huyo msomali lakini hicho si kigezo cha kuhusisha alichofanya Waziri Kimario na hayo unavyodai kuwa ni matatizo aliyowaletea hao wasomali kama unavyodai.

Jenerali Kimario anasalia kuwa Kiongozi muadilifu sana aliyeitumikia nchi yetu Kwa Uzalendo mkubwa.
 
Stupid effin mbulula
Muhidini Mfaume Kimario alikuwa mgalatia mavi?
Hivi nyinyi mapumbulungwa mnatokea mapori gani
Kaaeni hukuhuko maporini, mbuzi nyinyi, MNANUKA MAVI

1719586778917.png
 
Mzee nimesoma ulichoandika nimegundua yafuatayo:

Kichwa cha habari na mada uliyowasilishwa havina uhusiano nadhani lengo lako ni kumchafua Jenerali Kimario kwa kigezo cha udini.

Umejaribu kuficha dhamira yako kwa ujanja mkubwa sana lakini imeshindikana na ukweli ndiyo huo kuwa hoja yako ni madai ya manyanyaso dhidi ya Uslamu.

Sina shida na mchango au msaada alioutoa huyo msomali lakini hicho si kigezo cha kuhusisha alichofanya Waziri Kimario na hayo unavyodai kuwa ni matatizo aliyowaletea hao wasomali kama unavyodai.

Jenerali Kimario anasalia kuwa Kiongozi muadilifu sana aliyeitumikia nchi yetu Kwa Uzalendo mkubwa.
Uzalendo...
Makala hiyo mwandishi si mimi.

Ila nimeletewa na aliyeandika na jina lake liko ukirejea kwenye makala utaliona.
 
Hao majasusi wa wakoloni waliokuwa Moshi wakipinga Tanganyika kuwa huru walikuwa wanaona mbali sana. Tungebaki na wakoloni sasa hivi tungekuwa ni moja ya mataifa yenye maendeleo makubwa kabisa na siyo nchi inayogawiwa vipande kwa waarabu kama ilivyo sasa!
NAKAZIA.
 
Haujaomba passport ya 🇬🇧?
Una haki
Landrover hyo nmeiona imenikumbusha mbali sana
Babu yangu alinambiaga enzi
Zamani alipelekwa hapo Solihull plant na alikaa sana hapo,kujifunza,kuangali mchakato wa malandrover kuna mapicha nkangaliaa navutiwa nazo sna

Ova
 
Hizo ndio zilikuwa gari na mpaka sasa zina heshima yake
 
Back
Top Bottom