Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Bora hata Bibi Titi kuna barabara imepewa jina lake. Kambona ameshushiwa hadhi na heshima kwa kiwango cha kifashisti sana. Na hii dhambi itatutesa sisi na wajukuu zetu....Ni kweli History ya Tanzania ifumuliwe iandikwe upya "Historia halisi" without bias
Mfano mdogo tu kuna watu kama Bibi Titi Mohammed, Oscar Kambona n.k wanatajwa vibaya katika Historia eti kisa tu walitofautiana ideologies na Mwalimu
Lakini mengi mazuri waliyofanya yenye tija hayazungumzwi au yamezungumziwa kwa kifupi sana lakini ni miongoni mwa mashujaa wa hili taifa
Hakika mkuu, inasikitisha sana. Hebu wazia walimtungia Oscar Kambona hadi nyimbo za kumshushia heshima zikawa zinaimbwa mashuleni miaka ya 1970s kama sikoseiBora hata Bibi Titi kuna barabara imepewa jina lake. Kambona ameshushiwa hadhi na heshima kwa kiwango cha kifashisti sana. Na hii dhambi itatutesa sisi na wajukuu zetu....
Chuki za kisiasa mbaya sana...Hakika mkuu, inasikitisha sana. Hebu wazia walimtungia Oscar Kambona hadi nyimbo za kumshushia heshima zikawa zinaimbwa mashuleni miaka ya 1970s kama sikosei
Kama ana "jina la Kiarabu" poa tu maana hilo nadhani ndiyo lengo kuu mojawapo la hii historia fukunyuku!Atajitokeza na aliyemsaidia maji ya kunywa nae adainkuwmekwa kwenye historia
Hakika mkuu, inasikitisha sana. Hebu wazia walimtungia Oscar Kambona hadi nyimbo za kumshushia heshima zikawa zinaimbwa mashuleni miaka ya 1970s kama sikosei
😂 Kwan waliruhusiwa kuandka hadi io malaya 🙌🏾😂
Evil..."Alipata kuwanyima amani wazee wa kiislamu" itakuwa hiki kitu kilikuhuzunisha sama Mzee Mudi
Sawa Bwana MkubwaEvil...
Nakusihi katika kuniita tuweke nidhamu ya umakini baina yetu.
Niite Mzee Mohamed.
Ukiniita Mzee Mudi kwangu si mahali pake.
Haujaomba passport ya 🇬🇧?
Tatizo lake UDINIKichwa cha huyu Mzee Mohamed Said kimehifahi kumbukumbu nyingi, Serikali ikiweza ione namna ya kumuwezesha atuandikie vitabu vingi vya historia ili Vizazi vijavyo waweze kujifunza
Tulikuja kuiona ukubwani, tayari tuna maisha yetu.Haujaomba passport ya 🇬🇧?
Una haki
Amehifadhi kumbukumbu za waislamu pekee,kiufupi ni mbaguzi kama faiza foxKichwa cha huyu Mzee Mohamed Said kimehifahi kumbukumbu nyingi, Serikali ikiweza ione namna ya kumuwezesha atuandikie vitabu vingi vya historia ili Vizazi vijavyo waweze kujifunza
Sio Serikali Duniani kote the last man ndio historia yake huandikwa.ni kama kwenye ushindi wa mtu yoyote lazima kuna support ya watu wengi but huandikwa wa mwisho aliye maneuver wengine.Tatizo serikali inataka Nyerere ndiyo awe the cornerstone of our history. Na hapo ndipo mzee wetu anaposhindwana na serikali
Kuna watu wameplay part kubwa sana kwenye historia ya Tanganyika/Tanzania lakini hawazungumzwi ila mzee Said amekuwa akiwataja sana
siyo vibaya kwani na yeye si alichangia pia? Hata muuza mahindi au madafu mtaani kama alimsaidia basi na yeye pia atajwe.Atajitokeza na aliyemsaidia maji ya kunywa nae adainkuwmekwa kwenye historia
Naru...Tatizo lake UDINI
Waliokuadhimisha nao ni wadini wenzako ujueNaru...
Ningekuwa mdini nisingeadhimishwa mara mbili hapa JF kama Mwandishi Bora.
Ningekuwa mdini nisingealikwa kote huko vyuoni.
Wasio Waislam walifuta historia ya Waislam na Muislam akairejesha.
Hili ndilo linalokuhmesheniangaisheni.
Unaweza kualikwa Northestern University kama wewe ni mdini?
Unaweza kutiwa katika mradi uandishi wa historia na Oxford University Press kama wewe ni mdini?
Leo nakusomesheni historia ya Mwalimu Nyerere upya kama vile hamkupata kumjua.
Angalia Maktaba hapo chini kitabu cha Julius Nyerere kipo pembeni ya kitabu cha Abdul Sykes.
Halikadhalika walimu vyuo vikuu wanaposomesha historia ya uhuru wa Tanganyika wanawaambia wanafunzi wao kwanza wamsome Dr. Kwegyr Aggrey ndani ya Dictionary of African Biography (DAB) kisha wanawaambia wamsome Kleist Sykes humo humo kwenye DAB.
View attachment 3028273
View attachment 3028275