Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #41
Eco...Amehifadhi kumbukumbu za waislamu pekee,kiufupi ni mbaguzi kama faiza fox
Naru...Waliokuadhimisha nao ni wadini wenzako ujue
Biti...siyo vibaya kwani na yeye si alichangia pia? Hata muuza mahindi au madafu mtaani kama alimsaidia basi na yeye pia atajwe.
Nakubal mzee wanguIvan...
Utapita kichochoro kipi umfikie Nyerere na kata yako ya maji?
Nyerere alikuwa kazungukwa na watu madhubuti.
Sahani yake ya chakula ilikuwa inazungushwa utadhani kitabu cha maulidi hadi iwekwe kwake ale.
Wala hata usinielewe vibaya, si kejeliHaya si ya kufanyia kejeli ulizeni muambiwe.
Stupid effin mbululaMzee nimesoma ulichoandika nimegundua yafuatayo:
Kichwa cha habari na mada uliyowasilishwa havina uhusiano nadhani lengo lako ni kumchafua Jenerali Kimario kwa kigezo cha udini.
Umejaribu kuficha dhamira yako kwa ujanja mkubwa sana lakini imeshindikana na ukweli ndiyo huo kuwa hoja yako ni madai ya manyanyaso dhidi ya Uslamu.
Sina shida na mchango au msaada alioutoa huyo msomali lakini hicho si kigezo cha kuhusisha alichofanya Waziri Kimario na hayo unavyodai kuwa ni matatizo aliyowaletea hao wasomali kama unavyodai.
Jenerali Kimario anasalia kuwa Kiongozi muadilifu sana aliyeitumikia nchi yetu Kwa Uzalendo mkubwa.
Alokwambia Jenerali Kimario alikuwa mgalatia nani?Stupid effin mbulula
Muhidini Mfaume Kimario alikuwa mgalatia mavi?
Hivi nyinyi mapumbulungwa mnatokea mapori gani
Kaaeni hukuhuko maporini, mbuzi nyinyi, MNANUKA MAVI
View attachment 3028406
Kutokuwa mgalatia Kwa Jenerali Kimario hakuondoi hoja yangu dhidi ya Mzee Mohamed kuwa bandiko lake Lina agenda ya udiniStupid effin mbulula
Muhidini Mfaume Kimario alikuwa mgalatia mavi?
Hivi nyinyi mapumbulungwa mnatokea mapori gani
Kaaeni hukuhuko maporini, mbuzi nyinyi, MNANUKA MAVI
View attachment 3028406
Uzalendo...Mzee nimesoma ulichoandika nimegundua yafuatayo:
Kichwa cha habari na mada uliyowasilishwa havina uhusiano nadhani lengo lako ni kumchafua Jenerali Kimario kwa kigezo cha udini.
Umejaribu kuficha dhamira yako kwa ujanja mkubwa sana lakini imeshindikana na ukweli ndiyo huo kuwa hoja yako ni madai ya manyanyaso dhidi ya Uslamu.
Sina shida na mchango au msaada alioutoa huyo msomali lakini hicho si kigezo cha kuhusisha alichofanya Waziri Kimario na hayo unavyodai kuwa ni matatizo aliyowaletea hao wasomali kama unavyodai.
Jenerali Kimario anasalia kuwa Kiongozi muadilifu sana aliyeitumikia nchi yetu Kwa Uzalendo mkubwa.
Nyinyi wagalatia mavi ndio mna udini wa kimavimaviKutokuwa mgalatia Kwa Jenerali Kimario hakuondoi hoja yangu dhidi ya Mzee Mohamed kuwa bandiko lake Lina agenda ya udini
NAKAZIA.Hao majasusi wa wakoloni waliokuwa Moshi wakipinga Tanganyika kuwa huru walikuwa wanaona mbali sana. Tungebaki na wakoloni sasa hivi tungekuwa ni moja ya mataifa yenye maendeleo makubwa kabisa na siyo nchi inayogawiwa vipande kwa waarabu kama ilivyo sasa!
Ni kweli, wanafanana sanaSio Serikali Duniani kote the last man ndio historia yake huandikwa.ni kama kwenye ushindi wa mtu yoyote lazima kuna support ya watu wengi but huandikwa wa mwisho aliye maneuver wengine.
Landrover hyo nmeiona imenikumbusha mbali sanaHaujaomba passport ya 🇬🇧?
Una haki
Hizo ndio zilikuwa gari na mpaka sasa zina heshima yakeLandrover hyo nmeiona imenikumbusha mbali sana
Babu yangu alinambiaga enzi
Zamani alipelekwa hapo Solihull plant na alikaa sana hapo,kujifunza,kuangali mchakato wa malandrover kuna mapicha nkangaliaa navutiwa nazo sna
Ova