Langa tutakukumbuka Daima

Namkumbuka Langa alipokutana na Chid kwa mara ya kwanza. Wote walikuwa kwny peak. Matambiano yalikuwa ni makali sana. Lamar akaona isiwe shida. Akanyonga mdundo.. Mistari ikaingizwa.. kilichotokea paleee.. Tanzania nzima ilisimamaaa.. BONGE MOJA LA NGOMAAAA. Dah..

AAAHHHH.. ***** walai.. takukumbuka Langa daima na milele..
 
wimbo gani huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Watu wengi, binadamu wachache,
Wengine hawapend, i mteja aache
Watamchekea usoni kisogoni wanamsema,
Wanatafuta mabaya wanajifanya hawayaoni mema..."

Endelea kupumzika kwa amani raisi wa kitaa
 
Rafiki wa kweli_Langa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…