LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

Ukanda wa Africa bahari ya Hindi zinatambulika bandari tatu tu kwa operations kubwa. Durban, Djbout na Dar. Hiyo Mombasa umechomekea tu haitambuliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukanda wa Africa bahari ya Hindi zinatambulika bandari tatu tu kwa operations kubwa. Durban, Djbout na Dar. Hiyo Mombasa umechomekea tu haitambuliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahahahahaha duh, yani unawezaje kua haujui hata performance ya nchi yako? hapa hatuko vijiweni ambapo mtu anaweza tamka tu lolote... Si ungetumia kama nusu dakika ku google mtandaoni kabla ya kujiabisha hivi.. Dar inapokea miziko 20 million tonnes, Mombasa inafika 32 Million tonnes.... Ni bandari ya durban pekee tu kwa bahari hindi inayoishinda Mombasa..

Kwenye port Performance, Mombasaiko na alama 74, Dar imechwa nyuma iko na 53 points












Soma vizuri hapa




Dar port haiwezi ikashindana na Mombasa!!!!!


Source: https://www.pwc.co.za/en/assets/pdf/strengthening-africas-gateways-to-trade.pdf
 
Acha ubishi jomba, Dar port ina operations kubwa kuliko Mombasa. Hizo takwimu inategemea na dhima ya alieziandaa. Vyombo vinavyo dock Dar Msa haijawahi kuvipokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kujibishana na wazimu! jamaa kapata voucher ya bure hajui afanyie nini sasa anakupotezea wakati tu.
 
Was this in the initial plan ama mnabadili gia angani, wakati wote you've been screaming of Ethiopia Market as far as Lamu is concerned,
You are not serious and as what is happening to the sgr to nowhere, Lamu port is a white elephant thing.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuota ndoto za vijiweni
Ndoto za kijiwe cha kahawa ni kwamba, lamu port ndio alternative ya Msa port. Kumbuka mlishaweka collateral hiyo Msa kwa gari moshi la no where. Hivyo GoK itabaki na hicho ki mwalo cha lamu. Na vijiwe vya gahawa vya bongo ni moto, havijawahi kuniangusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PWAHAHAHAHAAA....USILIE MDOGO WANGU,,LAMU PORT IS LARGER THAN DAR IS A SLUM PORT AND LARGER THAN ALL DANGANYIKAN PORTS COMBINED...TULIA DAWA IKUPONYE VIZURI
 
PWAHAHAHAHAAA....USILIE MDOGO WANGU,,LAMU PORT IS LARGER THAN DAR IS A SLUM PORT AND LARGER THAN ALL DANGANYIKAN PORTS COMBINED...TULIA DAWA IKUPONYE VIZURI
Hebu Nioneshe Hiyo lamu port iliyokubwa kuzidi tu hata mtwara port. Ukishindwa kunionesha Mimi nitakuonesha mang'aa mropokaji wa ku fantasies mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimedownload hio report ya PWC nitaisoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…