carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,259
Ukanda wa Africa bahari ya Hindi zinatambulika bandari tatu tu kwa operations kubwa. Durban, Djbout na Dar. Hiyo Mombasa umechomekea tu haitambuliki.Usitie wasi wasi, Duniani ni bara la Africa pekee ndo limewachwa nyuma, kule kwengine ports zina operate kwa Model ya Hub and Spoke...... Yani unakuta bandari moja ndo inapokea meli zote kubwa kubwa alafu meli ndogo ndo zinatumika kusambaza mizigo kwa bandari zengine.... Kule China ni Singapore, Shanghai na Hong Kong, Marekani ni port of Miami na NewYork, South America ni Portof Brazil,Europe ni port of Antwerp na Rotterdam. ......
Africa pekee ndo haina model kama hii kwasababu hakuna hata bandari moja Africa nzima yenye uwezo huu...Meli hubidi isafiri hadi Djibouti iangushe mizigo alafu ipige safari hadi Mombasa, Tanga, Dar, Maputo, SA.....etc Ni bandari ya Mombasa na Durban pekee hapa Sub sahara ndo ziko na potential ya kuwa "hub ports" ... Lamu port inajengwa kuhudumia haya matakwa... Yani jimeli kubwa linaleta mizigo ya nchi zote Kutoka Kenya hadi SA na kuiangusha Kenya, alafu kutoka hapo meli ndogo ndogo ndo zinapeleka mizigo kwa nchi tofauti za Africa
Sent using Jamii Forums mobile app