Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
We hujielewi. Unadhani kuna siku tz itapata $10b ya kujenga bandari? Unaota mchana. Vizazi vyenu vitaumia wakati kenya watakua na 32berths pale lamu
Foolish, sisi sio kama wakenya. Tungeingia mkataba wa bagamoyo, vizazi vyetu ndio vingeumia.