Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
Foolish, sisi sio kama wakenya. Tungeingia mkataba wa bagamoyo, vizazi vyetu ndio vingeumia.
Nani kakwambia tunaumia, hao wanaopinga ni wale waloshirikiana na wachina kuingia mkataba wa kinyonyaji, and you dont know shit.Tayari mnaumia vile Lamu ishachukua nafasi ya Bagamoyo huku Mombasa ikichukua nafasi ya ya bahari Hindi toka Alexandria Hadi Durban.
Ww kaa hapo ukisubiri vizazi vyetu viumie.We hujielewi. Unadhani kuna siku tz itapata $10b ya kujenga bandari? Unaota mchana. Vizazi vyenu vitaumia wakati kenya watakua na 32berths pale lamu
Strategic in what? Bagamoyo imeenda mchina ako busy LamuWw kaa hapo ukisubiri vizazi vyetu viumie.
We are more strategic than you guys. Tulieni mjifunze.
Wacha bagamoyo iende, mbona ww unakuwa concerned sana bagamoyo kwenda na haikuhusu.Strategic in what? Bagamoyo imeenda mchina ako busy Lamu
Umesikia Ndege yenu Kukamatwa Tena? 😂😂😂😂Nani kakwambia tunaumia, hao wanaopinga ni wale waloshirikiana na wachina kuingia mkataba wa kinyonyaji, and you dont know shit.
[emoji23][emoji23][emoji23] pole mzalendo. Najua ni ngumu kukubali ccm imefuckup but hivo ndo hali ilivyo. Ethiopia tayari wamechukua berth 1 pale Lamu.Wacha bagamoyo iende, mbona ww unakuwa concerned sana bagamoyo kwenda na haikuhusu.
Ungekuwa haumii hungekuwa hapa.Nani kakwambia tunaumia, hao wanaopinga ni wale waloshirikiana na wachina kuingia mkataba wa kinyonyaji, and you dont know shit.
Yani morogoro ni kama Voi hadi Mombasa in Kenyas comparison.Habari ndio hiyo hutaki saga chupa ulambe
Electrical SGR on its way to Uganda via Tanzania View attachment 1270521
Hii project inakimbishwa kama baisikeli ya kuibiwa. Berth no.2 tayari imeshachukua umbo lake.
▲ Concrete casting for the main deck of Berth 2 was completed on 5 November 2019
▲ Visit from CGTN
__________________
Everytime I look at this project I get goose bumpsHii project inakimbishwa kama baisikeli ya kuibiwa. Berth no.2 tayari imeshachukua umbo lake.
Shika adabu yako! Mention chuo kimoja cha maana Voi! Morogoro ni mji wa viwanda na taasisi za elimu huwezi fananisha na Voi hata siku moja!Yani morogoro ni kama Voi hadi Mombasa in Kenyas comparison.
Men you guys have a long way to go with your SGR na ata haijafika hiyo Morogoro. Dodoma looks like its quater way ... Goodness [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waache waendelee kujifurahisha! Ati Lamu port is for cargo to Tanzania! Mtangoja!