LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

Nikipata muda nitapost hapa ni kitu gani Wekenya huimport kwa wingi. Kwa haraka most of the goods imported huwa finished products kwa mfano industrial machineries, medications, petroleum, cars e.t.c. List nzima nitaleta nikipata muda.
Kuna tovuti hua inaitwa oec.world hua iko na data nzuri sana ambayo unaweza ku visualise kwenye graphs but nina uhakika ukileta hio ataikana kama vile typical Tanzanian style, kwahivyo wacha niweke hii ambayo inatoka kwa WB group ambayo hua haikaniki kirahisi manake data yao hutoka kwa WTO na UNCTAD..
WITS ni tovuti ya WB https://wits.worldbank.org/Default.aspx?lang=en

1631348410779.png

Imports za Kenya 2018 - pre-covid --- Total ni $17.4 Billion USD
1631349938777.png

Visualization by product

1631351026614.png

Tanzania Imports 2018 ... Total ni $8.6 Billion USD

1631350116611.png

Visualization by product
1631351091065.png

Na ukiangalia takwimu za mizigo inayoingia bandarini TZ Vs Ke, tumewapiga double, kwahivyo it's not that strange kwamba the value of imports ya Kenya pia ni double Import yao.

Hapo ukiangalia fuel tunayo import $3.4 Billion Vs Fuel ambayo Tz ina import $1.8 Billion hio inafaa ikwabie yote kuhusu consumption ya Kenya VS Tanzania manake mafuta ndo yana power magari, malori, mitambo, viwanda etc
Alafu pia hapo kuna takwimu za "Agricultural Raw Materials" hapo ndo kuna Mbolea na Mbegu etc
 
Kuna tovuti hua inaitwa oec.world hua iko na data nzuri sana ambayo unaweza ku visualise kwenye graphs but nina uhakika ukileta hio ataikana kama vile typical Tanzanian style, kwahivyo wacha niweke hii ambayo inatoka kwa WB group ambayo hua haikaniki kirahisi manake data yao hutoka kwa WTO na UNCTAD..
WITS ni tovuti ya WB https://wits.worldbank.org/Default.aspx?lang=en

View attachment 1933201

Imports za Kenya 2018 - pre-covid --- Total ni $17.4 Billion USD
View attachment 1933223

Visualization by product

View attachment 1933238

Tanzania Imports 2018 ... Total ni $8.6 Billion USD

View attachment 1933225

Visualization by product
View attachment 1933241

Na ukiangalia takwimu za mizigo inayoingia bandarini TZ Vs Ke, tumewapiga double, kwahivyo it's not that strange kwamba the value of imports ya Kenya pia ni double Import yao.

Hapo ukiangalia fuel tunayo import $3.4 Billion Vs Fuel ambayo Tz ina import $1.8 Billion hio inafaa ikwabie yote kuhusu consumption ya Kenya VS Tanzania manake mafuta ndo yana power magari, malori, mitambo, viwanda etc
Alafu pia hapo kuna takwimu za "Agricultural Raw Materials" hapo ndo kuna Mbolea na Mbegu etc
Kwa hiyo kenya mna agiza mafuta mengi kuliko Tanzania sio?

Unajua TAZAMA pipeline? Hiyo ina supply mafuta from Dar to Zambia. Na by 100% tanker zote za mafuta za Rwanda zinatoka Dar port, same applies Kwa tanker zote za Burundi by 100% zinapita Dar port kukinga mafuta.

Pia tuna supply mafuta Uganda na Congo, kuna msururu mrefu tu wa tanker za mafuta kutoka Dar port na hadi Malawi.

Kwa consumption ya ndani kenya hakuna migodi mingi kama Tz, Kuna migodi mikubwa yenye mashine nyingi na kubwa zinazotumia mafuta mengi sana. Pia migodi mingi haipo connected na national grid hivyo inatumia mafuta kupata umeme. Bado wingi wa vyombo vingine vya moto.

Sasa hapo kwenu mnavyo import mafuta double ya kwetu mnafanyia nini na kupeleka wapi? Huwa mnakunywa kama juice ama namna gani?
 
Mafuta yanaoenda Uganda kupitia Tz ni less than 10%.
Na kwa hizo nchi Nyengine, chukua Uchumi wa DRC uchangange na Rwanda, Burundi, na Zambia alafu ukishajumlisha uniambie ni ngapi ili tuone kama unapita wa Kenya, kama haupiti basi utakua umepata jibu lako.

Isitoshe pia sisi tuna export mafuta kwa nchi jirani, hio haiko huko kwenu pekee
 
Uko kwenye ndoto au? Habari za kuchanganya uchumi unatoa wapi? Mimi nimekupa detailed narration nimetaja nchi tunazo supply mafuta na wewe taja nchi mnazo supply mafuta.

Hata Congo inawazidi Kwa kutumia mafuta maana Wana migodi mikubwa sana inayoendesha mitambo inayotumia mafuta mengi.

Uganda tunapitisha mafuta karibu 50%na mostly hizo retail outlets za kuuzima mafuta huko UG Zina umiliki wa wabongo vile vile.
 
Haujapeana detail yoyote hapo, umetaja tu nchi ambazo mnasupply mafuta, haujataja mafuta kiasi gani ... Ndio maana nimeruka kwa GDP manake kama hizo nchi ulizotaja zinatumia mafuta kwa migodi na hio migodi haisababishi kuleta mapato makubwa kwa nchi kuliko Kenya basi inamaanisha hawatumii mafuta mengi kuliko Kenya kama unavyodhania... Manake kama Wana migodi na sisi tuna viwanda vingi zaidi..

Kwenye hizo nchi ulizotaja , zengine hazipati mizigo yote kutoka Tz, kwa mfano Zambia pia hupokea mizigo kutoka Mozambique, na miengine kutoka South Africa... na DRC pia hupokea mizigo miengine kutoka Kule upande wa Namibia...
Kwahivyo kunitajia hizo nchi tu haimaanishi chochote, nipatie takwimu mna export mafuta kiasi gani au thamani yake ni ngapi... Mi ata sina haja ya kujua yanawnda kwa nchi ngapi, nipatie tu total export ya mafuta.
 
GDP is nothing, wewe unaongelea your inflated economic data. While in reality your very poor.

Mko na viwanda vingapi vinvyotumia mafuta? Au migodi mikubwa mingapi? Your biggest logistics company huko kwenu in fleet size inayo range how many trucks?

Kenya hamuwezi kuwa Sawa in consumption of fuel than Congo, wale Wana migodi mingi na mikubwa, like wise to Zambia.. Shaba ile inatumia mitambo mingi sana.

Congo haipitishi mizigo Namibia, ni plan iko in pipeline Kwa sasa ndio wanatengezea rail from Benguela to Congo. So most import za Congo wanategemea Dar port.

Halafu uzitegemee kupata figures bongo, tofauti yetu na nyinyi ni Ile kuongeza sifuri. Sisi hatuna hiyo. Ni kama Sasa Dar port inafanya transhipment to Msa, MV Theodore iko pale inashusha mizigo and Mombasa express just call in there kuchukua mzigo baada ya kushushwa pale.

Hayo yanafanyika na wala hatujichochi.. Wala haturingi.. Ila nyie domo domo tu.
 
Kwa hivyo kwa kifupi hizi hadithi zote unazopiga hapa unazitoa m@t@K0ni 🤣🤣🤣🤣 yani hakuna mahali popote unatoa data, umekuja nazo tu we mwenyewe, duh! wabongo sijui nani kawaroga, yani una expect hapa mtandaoni tuwe tuna behave kama jamaa ambao hawakuenda shule pale kijiweni?

Na FYI DRC na Zambia wanatumia mafuta sawa tu, Lakini wote hawafikii mafuta yanayotumika Kenya!

1631551033856.png
 
Kwa hivyo kwa kifupi hizi hadithi zote unazopiga hapa unazitoa m@t@K0ni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani hakuna mahali popote unatoa data, umekuja nazo tu we mwenyewe, duh! wabongo sijui nani kawaroga, yani una expect hapa mtandaoni tuwe tuna behave kama jamaa ambao hawakuenda shule pale kijiweni?

Na FYI DRC na Zambia wanatumia mafuta sawa tu, Lakini wote hawafikii mafuta yanayotumika Kenya!

View attachment 1936325
Kwamba tukichanganya consumption ya mafuta Zambia na DRC hazifikii kenya?

Hizo data za mwaka gani ndugu? Nimekwambia ni sekta gani inatumia mafuta Kwa wingi sana hapo kunya. Unajua vile data zinapatikana? Unajua ukitoa information za kueleweka hapa pia tunaweza kutengeneza hizo data na graph hapa?

Sasa hebu tufanye analysis zetu binafsi hapa. Bila kutegemea hizo data za 2014.
 
eti tufanye analysis zetu binafsi 🤣 🤣 🤣 🤣 yani unataka tuketi chini tuanze ku estimate kiwanda flani kinatumia mafuta kiasi gani bila kutegemea data yoyote, Yani wewe na mimi tujitajie tu ma namba bila kutegemea chanzo chochote alafu mwisho wa siku tukubaliane kwamba hio ndo takwimu halisia???? Huko uliko, hua unashinda na kina nani wewe!!!
 
eti tufanye analysis zetu binafsi [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] yani unataka tuketi chini tuanze ku estimate kiwanda flani kinatumia mafuta kiasi gani bila kutegemea data yoyote, Yani wewe na mimi tujitajie tu ma namba bila kutegemea chanzo chochote alafu mwisho wa siku tukubaliane kwamba hio ndo takwimu halisia???? Huko uliko, hua unashinda na kina nani wewe!!!
Data hazijawahi kuwa accurate. Ni estimation tu.

Nimekwambia DRC na Zambia Kuna migodi mikubwa ambayo ina mitambo mingi inayotumia mafuta mengi na pia wanatumia mafuta kuzalisha umeme.

Sasa Kwa kunya mna heavy mines au industries ambazo zinatumia mafuta kushinda hizo nchi mbili? Mbona simple tu kusema Hilo..
 
Mr Geza Ulole Tulianza na 50 containers, ukatucheka Tukapanda hadi 62 containers bado ukatuchokoza, tukaongeza meli ya tatu ikawa na 102 containers bado haukukubali sasa MV Seago line Istanbul inaleta 480 TEUs... Mwishowe utanyamaza I promise you, utakua unapita kimya kimya, ngoja ifike December mwaka huu wakati tutakua tumeleta all equipments for a fully functional port, hapo tutakua tunapakua meli nzima ya 8,000 TEUs mizigo ya kila mtu upande huu wa bara hindi 🤑🤑🤑

MV Seago line Istanbul offloading 498 TEUS

E_egJqEWYAUYTLl

E_efaCBXEAIOYHc

E_ec_h8XIAErXuv
 
eti tufanye analysis zetu binafsi 🤣 🤣 🤣 🤣 yani unataka tuketi chini tuanze ku estimate kiwanda flani kinatumia mafuta kiasi gani bila kutegemea data yoyote, Yani wewe na mimi tujitajie tu ma namba bila kutegemea chanzo chochote alafu mwisho wa siku tukubaliane kwamba hio ndo takwimu halisia???? Huko uliko, hua unashinda na kina nani wewe!!!
🤣🤣
 
Mr Geza Ulole Tulianza na 50 containers, ukatucheka Tukapanda hadi 62 containers bado ukatuchokoza, tukaongeza meli ya tatu ikawa na 102 containers bado haukukubali sasa MV Seago line Istanbul inaleta 480 TEUs... Mwishowe utanyamaza I promise you, utakua unapita kimya kimya, ngoja ifike December mwaka huu wakati tutakua tumeleta all equipments for a fully functional port, hapo tutakua tunapakua meli nzima ya 8,000 TEUs mizigo ya kila mtu upande huu wa bara hindi 🤑🤑🤑

MV Seago line Istanbul offloading 498 TEUS

E_egJqEWYAUYTLl

E_efaCBXEAIOYHc

E_ec_h8XIAErXuv
the economic effect of this port will not be a joke. Any projection on the numbers?
 
Back
Top Bottom