Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Kuna tovuti hua inaitwa oec.world hua iko na data nzuri sana ambayo unaweza ku visualise kwenye graphs but nina uhakika ukileta hio ataikana kama vile typical Tanzanian style, kwahivyo wacha niweke hii ambayo inatoka kwa WB group ambayo hua haikaniki kirahisi manake data yao hutoka kwa WTO na UNCTAD..Nikipata muda nitapost hapa ni kitu gani Wekenya huimport kwa wingi. Kwa haraka most of the goods imported huwa finished products kwa mfano industrial machineries, medications, petroleum, cars e.t.c. List nzima nitaleta nikipata muda.
WITS ni tovuti ya WB https://wits.worldbank.org/Default.aspx?lang=en
Imports za Kenya 2018 - pre-covid --- Total ni $17.4 Billion USD
Visualization by product
Tanzania Imports 2018 ... Total ni $8.6 Billion USD
Visualization by product
Na ukiangalia takwimu za mizigo inayoingia bandarini TZ Vs Ke, tumewapiga double, kwahivyo it's not that strange kwamba the value of imports ya Kenya pia ni double Import yao.
Hapo ukiangalia fuel tunayo import $3.4 Billion Vs Fuel ambayo Tz ina import $1.8 Billion hio inafaa ikwabie yote kuhusu consumption ya Kenya VS Tanzania manake mafuta ndo yana power magari, malori, mitambo, viwanda etc
Alafu pia hapo kuna takwimu za "Agricultural Raw Materials" hapo ndo kuna Mbolea na Mbegu etc