Kunazo meli ambazo ziko na crane zake za kushukisha mizigo kutoka kwa meli hadi bandari ambayo haina cranes... Meli nginig sana zinazokuja Africa hua ni za aina hio. Anyway crane zitawekwa, infact zisha agiziwa, so don't worry your little heaad.
The first three berths are ready with final works being done on yards.
www.the-star.co.ke
Wacha nikusaidie kumjibu huyo....
This is how Mombasa port Berth 20 and 21 were constructed
First walijenga Container yard na berths
View attachment 1735622
Wakajenga hadi walipofika mwisho mwisho ndo cranes zikaanza kuingia
Alafu zikawegwa ship-to-shore cranes tatu na bandari ikaanza kufanya kazi,
View attachment 1735623
Mda si mwingi ikawa tayari bandari ishakua busy hata kabla gantry crane zote za kupakia mizigo kwa lorry kuwekwa
View attachment 1735624
Sahii ukiangalia kwa google map hio picha haijakua updated kwa miezi sita lakini inaonyesha berth number 20 and 21 ziko bussy zinafanya kazi, Berth number 22 ambayo ndo itakua latest inaendelea kujengwa nadhani itakamilika mwakani
View attachment 1735613
Kwahivyo Geza Ulole, usitie wasiwasi, cranes za lamu zishaagiziwa kutoka nje, hata Mombasa port berth 22 inahitaji cranes kuagiziwa... Jambo ambalo ni la kutia wasiwasi kwa sasa ni kama bara bara ya lami ya Lamu hadi garisa kama itakamilika mda sawa na kuwasli kwa hizo cranes hapo Lamu ili meli kubwa kubwa zikiwasili iwe barabara ni nywee hadi Ethiopia na Nairobi.