Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii LAPSST imekufa
Hii LAPSST imekufa

Meanwhile, ready for EACOP...
Meli kubwa kuanza kutia nanga Bandari ya Tanga mwezi ujao
Meli kubwa kuanza kutia nanga Bandari ya Tanga mwezi ujao
Beda Msimbe, Tanga
06/02/2022
BANDARI ya Tanga maarufu kama ‘Lango la Kaskazini’ itaanza kuingia katika ushindani na bandari nyingine, baada ya kukamilika kwa awamu ya kwanza ya miradi miwili inayotekelezwa kwa zaidi ya Sh bilioni 468 na kuwezesha meli kubwa kutia nanga.
Miradi hiyo miwili ya uboreshaji wa bandari hiyo, mmoja umeshafikia asilimia 95 na mwingine ukamilishaji ukiwa katika asilimia 25.
Kukamilika kwa miradi hiyo miwili kutawezesha meli kubwa kutia nanga katika gati na kupakua mizigo au kushusha abiria, huku ikiwa haina shaka na kina cha bahari ambacho kwa sasa kimeongezwa kutoka mita tatu hadi 13.
“Kutokana na maboresho hayo, sasa tutaweza kuhudumia mizigo ya zaidi ya tani milioni mbili kutoka kiwango cha sasa cha tani 730,000 kwa mwaka," alisema Mkuu wa Idara ya Utekelezaji, Colman Moshi.
Alisema kukamilika kwa mradi huo sasa meli zinapakua mizigo mita 200 kutoka eneo linalojengwa gati na ifikapo Machi gati itaanza kutumika rasmi kwani kazi ya uchimbaji kuongeza kina kufikia mita 13 itakuwa imekamilika na kuwezesha meli kubwa kutia nanga.
Awali, meli zilikuwa zinapakua mizigo kilomita 1.7 kutoka eneo la gati na hivyo kusababisha gharama kuwa kubwa na kutumia muda mrefu kushusha shehena.
“Tumejiweka katika ushindani na bandari jirani. Kina kinaongezwa kuwezesha meli kufika bandarini na mitambo mipya na yenye uwezo mkubwa imeletwa kuongeza uwezo wa bandari. Kwa sasa hali tuliyonayo tupo katika nafasi nzuri zaidi ya kutumia fursa ya ukaribu na wateja wetu kuongeza Pato la Taifa,” alisema.
Moshi alisema Bandari ya Tanga sasa ni shindani kutokana na kuwa jirani na mikoa ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa na nchi jirani za Uganda, Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Zambia.
Aidha, alisema kutokana na marekebisho ya tozo na kuimarishwa kwa usalama wa shehena, bandari hiyo inabebwa na miundombinu ya barabara na reli iliyokamilika na inayoendelea kujengwa kuelekea maeneo ya kati ya Tanzania, Kaskazini na Kanda ya Ziwa.
Moshi alisema kutokana na kuboreshwa kwa bandari malengo yao yamebadilika na kwamba mradi mzima ukikamilika itaweza kuhudumia shehena ya tani milioni tatu.
Ofisa mipango na takwimu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari TPA, Bandari ya Tanga, Joseph Mwambipile alisema kwamba mwaka huu wa fedha kwa maboresho yanayoendelea wamepanga kuhudumia mizigo na meli zaidi ya 129 na hadi Desemba mwaka jana wamehudumia meli 88.
Alisema bandari hiyo yenye uwezo mkubwa wa kuhudumia shehena za mizigo mbalimbali, mafuta na abiria, imelenga kuhudumia makasha 20,000 na abiria 99,000 mara tu mradi kamili utakapokamilika Oktoba, mwaka huu.
![]()
Meli kubwa kuanza kutia nanga Bandari ya Tanga mwezi ujao
Gwiji la Habari Tanzaniawww.habarileo.co.tz
Tukiweka siasa kando, lazima nikubali kwamba mradi huu ni muhimu katika uchumi wa Tanzania. Ujenzi wa gati mpya na uongezaji wa kina cha bandari kutaiwezesha bandari hili kucompete sio tu na Mombasa lakini sana sana bandari hili litacompete na Dar es Salaam port. Sasa hivi pengine utapata baadhi ya Wafanyibiashara wa Tanga town na miji mingine ya kaskazini wamekuwa wanaprefer kuimport mizigo yao kutumia Dar port kwa sababu Tanga port ilikuwa inefficient sana. Lakini sasa kwa sababu efficiency imeongezwa sasa Dar es Salaam port itegemee ushindani mkubwa kutoka kwa bandari hili. Kwanza hio mambo ya ku-offload shehena mara mbili ilikuwa inakera sana. Sikuwahi kusikia jambo kama hilo mahali popote.Hii bandari ambayo hata haiwezi kupokea meli kubwa ndio ulikuwa unatudanganya hapa kwamba ingeshindana na Mombasa port katika upokeleaji wa mizigo za kutoka ulaya za Kingfisher na Tilenga oil projects in Uganda? Yaani sijui huwa mnafikiria vipi nyie Wabongo. Nina mashaka na uwezo wenu wa kufikiria wakati mwingine. Haya hongereni kwa kukamilisha upanuzi huu. Utasaidia bandari hii kupokea mizigo ya Eacop lakini sio za Kingfisher wala Tilenga. Hapo ulikuwa unaota mchana peupe.
Wacha ujinga wewe Tanga port inaenda kuwanyang'anya wateja wa Uganda na wachache wa Burundi, Rwanda na DRC wanaotumia Mombasa port. We subiri October dredging phase II itakapokamilika. Kama umesoma vizuri wamepunguza port charges meaning they r ploting for price wars! Sasa ngoja tuone kama Jamaa wa Uganda, Rwanda, Burundi wataendelea kutumia Mombasa port na ma-charge yenu ya juu maana umbali wa Tanga-Kigali utakuwa mdogo ukilinganisha na Mombasa-Kigali, na Tanga-Kampala utakuwa sawa na umbali wa Mombasa-Kampala! FYI Dar haihusiki na Tanga, Dar itabaki na biashara za Zambia, Malawi, South-eastern DRC, Comorro na Zimbabwe! By October Tanga port itakuwa na uwezo wa 3 mln tonnes kwa mwaka na hapo oil terminal Chongoleani foe EACOP haihesabiwi! BTW huu mwaka si wenu kama uko aware huwa mnakimbiwa kila kipindi cha uchaguzi!Tukiweka siasa kando, lazima nikubali kwamba mradi huu ni muhimu katika uchumi wa Tanzania. Ujenzi wa gati mpya na uongezaji wa kina cha bandari kutaiwezesha bandari hili kucompete sio tu na Mombasa lakini sana sana bandari hili litacompete na Dar es Salaam port. Sasa hivi pengine utapata baadhi ya Wafanyibiashara wa Tanga town na miji mingine ya kaskazini wamekuwa wanaprefer kuimport mizigo yao kutumia Dar port kwa sababu Tanga port ilikuwa inefficient sana. Lakini sasa kwa sababu efficiency imeongezwa sasa Dar es Salaam port itegemee ushindani mkubwa kutoka kwa bandari hili. Kwanza hio mambo ya ku-offload shehena mara mbili ilikuwa inakera sana. Sikuwahi kusikia jambo kama hilo mahali popote.
Sasa bandari ya uwezo wa 3mln tonnes kwamwaka ndo uje kuanzisha mjadala? jameni!Wacha ujinga wewe Tanga port inaenda kuwanyang'anya wateja wa Uganda na wachache wa Burundi, Rwanda na DRC wanaotumia Mombasa port. We subiri October dredging phase II itakapokamilika. Kama umesoma vizuri wamepunguza port charges meaning they r ploting for price wars! Sasa ngoja tuone kama Jamaa wa Uganda, Rwanda, Burundi wataendelea kutumia Mombasa port na ma-charge yenu ya juu maana umbali wa Tanga-Kigali utakuwa mdogo ukilinganisha na Mombasa-Kigali, na Tanga-Kampala utakuwa sawa na umbali wa Mombasa-Kampala! FYI Dar haihusiki na Tanga, Dar itabaki na biashara za Zambia, Malawi, South-eastern DRC, Comorro na Zimbabwe! By October Tanga port itakuwa na uwezo wa 3 mln tonnes kwa mwaka na hapo oil terminal Chongoleani foe EACOP haihesabiwi! BTW huu mwaka si wenu kama uko aware huwa mnakimbiwa kila kipindi cha uchaguzi!
Hahaha. Anadhani 3 million tonnes ndio itafanya bandari ya Mombasa ikufe. Jamaa ni shallow minded sana.Sasa bandari ya uwezo wa 3mln tonnes kwamwaka ndo uje kuanzisha mjadala? jameni!
Rwanda na Burundi hupokea kama 2 Million tonnes combined, South Sudan hupokea kama 3 million tonnes import/export, Uganda nao ni 8Million tonnes kupitia Bandari ya Mombasa.... Kaskazini mwa Tanzania nao hupokea kama 200,000 tonnes kupitia bandari ya Mombasa....
Hapo kuna kama 16 Million tonnes za kupiganiwa. Dar port ilipiga 17million tonnes mwaka uliopita, wakati bandari ya Mombasa ilipiga 32 Million tonnes..... Sasa unakuja kujipia kifua eti mtaua bandari ya Mombasa kisa na maana mmefanya dredging na kupanua bandari iwe na uwezo wa only 3 mln tonnes!!!!
NB: Bandari mpya, au iliofanyiwa expansion hua wanapunguza port charges ili kuvutia wateja wapya... Lakini baadae wateja wakishazoea bandari, port charges zinarudi to competitive prices,,, hilo si jambo jipya...
Hiihii Kunyaland port at Mombasa ati inahudumia 32 mln tonnes! Keep dreaming Mkunya!Sasa bandari ya uwezo wa 3mln tonnes kwamwaka ndo uje kuanzisha mjadala? jameni!
Rwanda na Burundi hupokea kama 2 Million tonnes combined, South Sudan hupokea kama 3 million tonnes import/export, Uganda nao ni 8Million tonnes kupitia Bandari ya Mombasa.... Kaskazini mwa Tanzania nao hupokea kama 200,000 tonnes kupitia bandari ya Mombasa....
Hapo kuna kama 16 Million tonnes za kupiganiwa. Dar port ilipiga 17million tonnes mwaka uliopita, wakati bandari ya Mombasa ilipiga 32 Million tonnes..... Sasa unakuja kujipia kifua eti mtaua bandari ya Mombasa kisa na maana mmefanya dredging na kupanua bandari iwe na uwezo wa only 3 mln tonnes!!!!
NB: Bandari mpya, au iliofanyiwa expansion hua wanapunguza port charges ili kuvutia wateja wapya... Lakini baadae wateja wakishazoea bandari, port charges zinarudi to competitive prices,,, hilo si jambo jipya...
Prove me wrong, Yani nyi maboya sana, mpaka WB wenyewe walisemakama bandari yenu ingekua half as efficient as MSA,uchumi wenu ungekua unapata USD 1.8 Billion zaidi kila mwaka.... How lazy must you be to be compaired like that !Hiihii Kunyaland port at Mombasa ati inahudumia 32 mln tonnes! Keep dreaming Mkunya!
aaawapiii! 🙅♂️🙅♂️🙅♂️Prove me wrong, Yani nyi maboya sana, mpaka WB wenyewe walisemakama bandari yenu ingekua half as efficient as MSA,uchumi wenu ungekua unapata USD 1.8 Billion zaidi kila mwaka.... How lazy must you be to be compaired like that !
aaawapiii! 🙅♂️🙅♂️🙅♂️
awapiii! assumptions by Wakunya!