Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa bandari ya uwezo wa 3mln tonnes kwamwaka ndo uje kuanzisha mjadala? jameni!
Rwanda na Burundi hupokea kama 2 Million tonnes combined, South Sudan hupokea kama 3 million tonnes import/export, Uganda nao ni 8Million tonnes kupitia Bandari ya Mombasa.... Kaskazini mwa Tanzania nao hupokea kama 200,000 tonnes kupitia bandari ya Mombasa....
Hapo kuna kama 16 Million tonnes za kupiganiwa. Dar port ilipiga 17million tonnes mwaka uliopita, wakati bandari ya Mombasa ilipiga 32 Million tonnes..... Sasa unakuja kujipia kifua eti mtaua bandari ya Mombasa kisa na maana mmefanya dredging na kupanua bandari iwe na uwezo wa only 3 mln tonnes!!!!
NB: Bandari mpya, au iliofanyiwa expansion hua wanapunguza port charges ili kuvutia wateja wapya... Lakini baadae wateja wakishazoea bandari, port charges zinarudi to competitive prices,,, hilo si jambo jipya...
first, I like the picturesPhase 3 Dongo Kundu Bypass towards where Free Port and Mombasa SEZ will be located
View attachment 2154083
View attachment 2154160
Phase 2 - Dongo Kundu Bypass (Mombasa Southern Bypass) towards where Free Port and Mombasa SEZ will be located
I think this is Mwache bridge which will be 660m long, another one called Mteza bridge in phase 3 will be 1.44 km long
View attachment 2154083
View attachment 2154160
![]()
Cargo at Dar port capacity is 30 mln tonnes by next year!
View attachment 2154123
Ni pale mkunya ana-mix capacity to actual cargo served by Mombasa port per year!
Aawapii Mombasa port haijafika 34 mln tons of cargo per annum! BTW I made a mistake cargo throughput means the volume of cargo handled at the Terminal in the period of one year.Mbona unajichanganya mkuu, Hata we mwenyewe unasema Dar capacity will grow to 30mln tons p.a Yaani itakua na uwezo wa ku handle 30mln tons........ while last year the actual cargo that passed through Dar was about 18 million tons.
Wakati up north, Mombasa port handled 34 million tones of actual cargo (Hii ni actual cargo, not potential capacity)... Since there was no major congestion, it means Mombasa already has a capacity larger than 34 mln tons
Na usisahau berth 22 pale mombasa itazunduliwa mwezi ujao, iko na capacity ya 500,000 Teus ama about 7 mln tonnes..... So that means after April this year 2022 Mombasa port itakua na capacity of atleast 34 + 7 = 41 mln tones.
Berth 22 imemaliza kujengwa, you can see berth 23 nayo iko almost 50% complete hio nayo itakua na capacity ya 550,000 TEUs So b4 end of 2022 berth 23 ikikamilika Mombasa port itakua na capacity ya 34+7+7.5 = 48 Million tones!!!!!!
View attachment 2154210
mwezi uliopita equipments za berth 22 ziliwasili bandarini --- Usishindane na ndovu kunya!!!!
View attachment 2154227
View attachment 2154225
View attachment 2154230
View attachment 2154231
Hata kama wamesema cargo throughput, its still just hypothetical kwasababu wamesema by 2023.. 2023 has not happened yet....Aawapii Mombasa port haijafika 34 mln tons of cargo per annum! BTW I made a mistake cargo throughput means the volume of cargo handled at the Terminal in the period of one year.
![]()
Cargo throughput Definition | Law Insider
Define Cargo throughput. means the volume of cargo handled at the Terminal in the period of one financial year.www.lawinsider.com