LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

LAPSSET: Lamu Port and South Sudan Ethiopia Transport: News & Photos

Delegation kutoka Ghana imekuja benchmarking ya New Kipevu Oil Terminal 2

1647524318526.png

1647524387006.png
 
Cargo throughput Dar port is 30 mln tonnes by next year!
6.PNG

Sasa bandari ya uwezo wa 3mln tonnes kwamwaka ndo uje kuanzisha mjadala? jameni!
Rwanda na Burundi hupokea kama 2 Million tonnes combined, South Sudan hupokea kama 3 million tonnes import/export, Uganda nao ni 8Million tonnes kupitia Bandari ya Mombasa.... Kaskazini mwa Tanzania nao hupokea kama 200,000 tonnes kupitia bandari ya Mombasa....

Hapo kuna kama 16 Million tonnes za kupiganiwa. Dar port ilipiga 17million tonnes mwaka uliopita, wakati bandari ya Mombasa ilipiga 32 Million tonnes..... Sasa unakuja kujipia kifua eti mtaua bandari ya Mombasa kisa na maana mmefanya dredging na kupanua bandari iwe na uwezo wa only 3 mln tonnes!!!!

NB: Bandari mpya, au iliofanyiwa expansion hua wanapunguza port charges ili kuvutia wateja wapya... Lakini baadae wateja wakishazoea bandari, port charges zinarudi to competitive prices,,, hilo si jambo jipya...

Ni pale mkunya ana-mix capacity to actual cargo served by Mombasa port per year!
 
Phase 2 - Dongo Kundu Bypass (Mombasa Southern Bypass) towards where Free Port and Mombasa SEZ will be located

I think this is Mwache bridge which will be 660m long, another one called Mteza bridge in phase 3 will be 1.44 km long

1647518936042.png

1647523328391.png

846mombasa_map.jpg
 
Cargo at Dar port capacity is 30 mln tonnes by next year!
View attachment 2154123

Ni pale mkunya ana-mix capacity to actual cargo served by Mombasa port per year!

Mbona unajichanganya mkuu, Hata we mwenyewe unasema Dar capacity will grow to 30mln tons p.a Yaani itakua na uwezo wa ku handle 30mln tons........ while last year the actual cargo that passed through Dar was about 18 million tons.

Wakati up north, Mombasa port handled 34 million tones of actual cargo (Hii ni actual cargo, not potential capacity)... Since there was no major congestion, it means Mombasa already has a capacity larger than 34 mln tons

Na usisahau berth 22 pale mombasa itazunduliwa mwezi ujao, iko na capacity ya 500,000 Teus ama about 7 mln tonnes..... So that means after April this year 2022 Mombasa port itakua na capacity of atleast 34 + 7 = 41 mln tones.

Berth 22 imemaliza kujengwa, you can see berth 23 nayo iko almost 50% complete hio nayo itakua na capacity ya 550,000 TEUs So b4 end of 2022 berth 23 ikikamilika Mombasa port itakua na capacity ya 34+7+7.5 = 48 Million tones!!!!!!

1647526498517.png

mwezi uliopita equipments za berth 22 ziliwasili bandarini --- Usishindane na ndovu kunya!!!!

1647527224935.png

1647527148010.png

1647527327334.png

1647527396297.png
 
View attachment 2154210

mwezi uliopita equipments za berth 22 ziliwasili bandarini --- Usishindane na ndovu kunya!!!!

View attachment 2154227

View attachment 2154225

View attachment 2154230

View attachment 2154231
Aawapii Mombasa port haijafika 34 mln tons of cargo per annum! BTW I made a mistake cargo throughput means the volume of cargo handled at the Terminal in the period of one year.

Aawapii Mombasa port haijafika 34 mln tons of cargo per annum! BTW I made a mistake cargo throughput means the volume of cargo handled at the Terminal in the period of one year.

Hata kama wamesema cargo throughput, its still just hypothetical kwasababu wamesema by 2023.. 2023 has not happened yet....

Alafu we uko na ugonjwa wa selective amnesia, Taarifa hio ya EAC infrastructure umeileta mwenyewe, ukaitumia kama ushahidi kwamba Dar port iko projected ku handle 30mln tons by 2023

1647615281521.png

A few seconds after the video talks about Dar port, they also show performance indicators for MSA port in which they say MSA port handled 34 mln of actual cargo (Not a projection but actual throughput)

1647615598754.png

Alafu unanipigia kelele eti, "aawapi!"... Aaa wapi nini sasa? Aliesema Dar port is projected to handle 30mln tons by next year 2023 is the same person ambae amesema Msa port already handled 34mln tones two years ago in 2020....... Kama huamini moja ya hizo statements basi usiamini statements zote kutoka hio video.... Hauwezi kuchagua taarifa ya kuhusu Dar alafu upinge ya Msa kutoka the same source surely!
 
Finally upandde wa South Sudan wameanza kujenga barabara itakayoungana na barabara ya upande wa Kenya

1647876569214.png

1647877285456.png
 
Kengen posted a revenue of $240 Million and a profit of $50 Million in the 6 month to Dec 2021... I don't think there is a power generating company in this region that has better financial books than Kengen.

1647877394595.png
 
Back
Top Bottom