LAPSSET tracking

LAPSSET tracking

Kitu kimeanza kutokezea!

DbM1gy3WsAIgN3l.jpg
Kazi ya ukweli wengine ni kuzindua ,yaaaani mastori kama wanawake
 
Sahau kuhusu pipeline
Kuna watu tumeshaanza huku kupigania tender mbali mbali
Bandari iko wapi? Kuna mpangilio maalum katika utekelezaji wa hizi projects. wapi supporting infrastructures kama vile port, refineries, roads na umeme wa kutosha? Our port is almost ready kilichobakia ni kuwa pipeline from Ug to Lamu. Nyinyi endeleeni kuzindua na kukimbiza 1.5 trillion.
 
Hivi huwa ukiandika unasoma tena ulichoandika au ndo Zero brain ??
Infrastructure uliambiwa pipeline linajengwa kupita kwenye barabara ?? Wewe jamaa Zero brain kabisa.
 
Hivi huwa ukiandika unasoma tena ulichoandika au ndo Zero brain ??
Infrastructure uliambiwa pipeline linajengwa kupita kwenye barabara ?? Wewe jamaa Zero brain kabisa.
So you thing pipeline ni pipe pekee ...
 
Hivi huwa ukiandika unasoma tena ulichoandika au ndo Zero brain ??
Infrastructure uliambiwa pipeline linajengwa kupita kwenye barabara ?? Wewe jamaa Zero brain kabisa.
Hii sio pipe ya maji.
 
Hii sio pipe ya maji.
So you thing pipeline ni pipe pekee ...
Okay show me any agreement between Kenya and Uganda to have that Hoima pipeline constructed towards Lamu Port.
Hiyo white elephant port mtaitumia wenyewe.
Ethiopia depends on Djibouti
Transhipment ya Djibouti ni 200K TEU's hapo Mombasa port.
South Sudan lazima ataunga Oil pipeline na Hoima. White elephant in the making
 
TAESA ya tanganza ajira 10,000 kwenye ujenzi wa bomba la mafuta. Jobless mnasikia. Hiyo nikwa watanzania.😀😀😳

Tunataka kuona kazi ikifanyika,,hiii kutangaza,kuzindua ni nonesense....rudi hapa kazi kianza rasmi
 
Tunataka kuona kazi ikifanyika,,hiii kutangaza,kuzindua ni nonesense....rudi hapa kazi kianza rasmi
Si bandari ipo tiyali. Tunachosubilia ni pipeline ifike bandarini
Endeleeni na ujenzi wa white elephant pipeline wakati South Sudan na Congo wakitegemea kuunga nao kuja Tanga😀😀
 
Kazi ya ukweli wengine ni kuzindua ,yaaaani mastori kama wanawake
noma sana

These guys are in for a shock... if you project container growth, Kenyan ports will be having a throughput of 55 million tonnes by 2031 from the current 30million tonnes that was achieved last year.
What about Ethiopia that is growing exponentially and has a population close to 100m. Djibouti is already over capacity and they dont have any big plans to exand to the level of Kenya....

And then comes Lamu port... currently, the biggest port in Africa is Durban with a capacity of 2.3million TEUs followed by Mombasa which has a capacity of 1.5million TEU and still under expansion....
But when Lamu port 32 berths are completed by 2030, lamu port will have a capacity of 20 million TEUs!!!!!
 
Yangsha deep water port - World largest automated terminal
Yangshan.jpg

Lamu port design of first three berths +container depot
Q6r869i.jpg

progress and scale (shaded in blue) of the first three births, you can see its a similar model of the Yangshan deepwater port
04TuacY.jpg
 
Back
Top Bottom