Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni game hizi hizi kama za mpira na need for speed au kuna magame mengine?Nvidia gtx 1060 ni processor ya zamani Kwa sasa ambayo ni ngumu kuchecheza gemu Kwa fremu 60.
Hapo gemu kama cyberpunk 2077 itakuwa inacheza Kwa 20fps mpaka 40 Kwa low au.medium settings kwenye 1080p hizi na uwezekano WA kupata tearing na stuttering.
Ukiipata laptop yenye rtx 2060 na CPU ya intel 10th gen itakuwa ni nafuu, rtx 2060 inasapoti DLSS (Deep Learning Super Sampling) na DirectX 12 Ultimate
DLSS ni upscaling tech ya Nvidia inayosaidia gemu kucheza Kwa low settings lakini fremu zinazozalishwa zinakuwa na ubora mkubwa hivyo hii inasaidia kucheza gemu za kisasa Kwa fremu nyingi
Sports game ziko optimized Ila huwezi kupata FPS za kutosha.ni game hizi hizi kama za mpira na need for speed au kuna magame mengine?
Ila hzo nadhan gharama yake itakuwa kubwa , cioSports game ziko optimized Ila huwezi kupata FPS za kutosha.
Heavy demanding games mfano WA shadow of the tomb raider, Far Cry 6, Call of duty: war zone, Metro Exodus kama mwanzalisha thread alikuwa anamaanisha hizi gtx 1060 haifai Kwa sasa.
Zipo low end end GPU kama rtx 2060 zinazokuja tech mpya kama DLSS na NVENC encoder(Kwa ajili ya streaming) za kuhimili kila Aina ya gemu kwa medium settings na hata resolution 1440p unaweza pata zaidi ya 60fps
Nvidia gtx 1060 ni GPU ya zamani Kwa sasa ambayo ni ngumu kuchecheza gemu Kwa fremu 60.
Hapo gemu kama cyberpunk 2077 itakuwa inacheza Kwa 20fps mpaka 40 Kwa low au.medium settings kwenye 1080p hizi na uwezekano WA kupata tearing na stuttering.
Ukiipata laptop yenye rtx 2060 na CPU ya intel 10th gen itakuwa ni nafuu, rtx 2060 inasapoti DLSS (Deep Learning Super Sampling) na DirectX 12 Ultimate
DLSS ni upscaling tech ya Nvidia inayosaidia gemu kucheza Kwa low settings lakini fremu zinazozalishwa zinakuwa na ubora mkubwa hivyo hii inasaidia kucheza gemu za kisasa Kwa fremu nyingi
Huwezi pata machine Equivalent ya hio kwa 1m, gaming pc entry level ambazo zina rtx 3050 zinapatikana kuanzia $600 tena kwenye sale. Machine za 1m hazina dedicated gpu wala cpu zake sio Zinazoishiwa na H kama unazokuta kwenye Gaming laptop, utapata tu zile za U ama G/P.China wamefanya Nchi zetu ni kutupa chochote hiyo Hela kama una mtu SA mwambie Incredible connection hapo Bruma au East gate Mall anakuta HP mpya kwenye Box ukiongeza 1.1m unaweza kupata Touch yake SA wana kodi ndogo sana kwa Laptop au Computer wakiamini ni vitu vinavyotoa Elimu...hiyo Laptop ya 1.1m Tsh Nairobi niliikuta inauzwa sawa na 2.4m Tsh na hilo Duka wana sell kila mara unaweza ukaandaa hela hiyo kumbe wao washashusha bei...na zipo nyingi brand tofauti ni uchaguzi wako tuu...hiyo uliyoiweka hapo viduka vya Electronics mtaani watakuuzia laki mbili na nusu ya Kitanzania wengine mpaka rand 13000 sawa na laki na themanini...kwa bei ndogo za dukani wengi wananunua vitu vipya..
SA wana zaga nyingi sana mkuu yaani Johannesburg pana Zaga nyingi sana kabla ya Corona maduka ya cash conveters borgsburg,woodmed na kempton park baadhi ya vitu walikua wanaviweka nje hasa used nishawahi nunua frem ya Camera Nikon D 5200 bila lens rand 1500 kama laki mbili tuu...wenzetu Tv madukani zinakaa kutokana na mwaka sio upya wake huwezi kwenda Macro ukaikuta Tv mpya Lg,Sumsung au Hisence ya 2019 wakati Nchi zetu hivyo hawazingatii maana yangu ni kwamba wakishauza stoke zikibaki chache wanauza sell sell usiseme huwezi kuta wakati machimbo huyajui..Huwezi pata machine Equivalent ya hio kwa 1m, gaming pc entry level ambazo zina rtx 3050 zinapatikana kuanzia $600 tena kwenye sale. Machine za 1m hazina dedicated gpu wala cpu zake sio Zinazoishiwa na H kama unazokuta kwenye Gaming laptop, utapata tu zile za U ama G/P.
Dell XPS 15 9560 UHD 4K Touchscreen Intel Core i5-7300HQ 8GB RAM 256GB SSD Nvidia GTX 1050 4GB GDDR5 Windows 101060 kwa laptop inacheza games zote bila wasiwasi na sababu ni Gaming laptop ina maana i7 yake itakuwa ni Quad. Bei pia nzuri huwezi pata machine yenye specs kama hizo kibongo bongo kwa hio bei.
Wasiwasi wangu ni isije kuwa changa la macho tu, ukanunua hio laptop likaja kasha tupu ama ukatapeliwa soma vizuri maelezo.
No way jamaa awe na stock kubwa hivyo ya Mtumba wa Msi.
Kwa Mimi kama ni gaming kitu cha Kwanza cha msingi ni GPU.Ninapenda kuplay games n hobby yangu sanaa ila cina uelewa sana kuhusiana na vitu muhimu kweny pc vitavyosupport games nyingi kucheza Vizuri (napenda sana offline na online Action Games eg Pubg, )
Mfano umeelezea FPS, rtx gpu, na dlls na vp kuhusiana na core , naomba unielekeze hv vtu.
Inategemea na bei mkuu bei yoyote chini ya 1m ni machine nzuri.Dell XPS 15 9560 UHD 4K Touchscreen Intel Core i5-7300HQ 8GB RAM 256GB SSD Nvidia GTX 1050 4GB GDDR5 Windows 10
Hii ni nzuri?