Laptop hii ipo vizuri kwa gaming?

Sawa mkuu, ila Hizi laptop zenye dedicated gpu ni bei ndefu. Kama upo South pitia Chimbo lako unaloliamini tafuta laptop yoyote yenye RTX ama Gtx kama hii ambayo ina 60 katikati.
 
Ngoja nifuatilie vizuri, kma unavyosema lisije kuja kasha. Maan laptop naion n kubwa.
Na pia cjawah kununua chochote from Alibaba online, natakiwa kupata wataalam wazoefu wa hio platform ili niweze kupata taarifa sahihi. Nisije pigwa na kitu kizito
 
Sawa mkuu, ila Hizi laptop zenye dedicated gpu ni bei ndefu. Kama upo South pitia Chimbo lako unaloliamini tafuta laptop yoyote yenye RTX ama Gtx kama hii ambayo ina 60 katikati.
Mkuu kwa mpya zipo ghari ila used kama hiyo niliyoiona hapo nimesema bei yake sio ghari incredible connection wana laptop za game mpya kuanzia 1.5m,5m mpaka 10m...
 
Mkuu kwa mpya zipo ghari ila used kama hiyo niliyoiona hapo nimesema bei yake sio ghari incredible connection wana laptop za game mpya kuanzia 1.5m,5m mpaka 10m...
ungeweka specs na bei mkuu, sababu gaming laptop zipo zenye gtx 750, 950, 1050, 1650 etc zote hizi hazifikii gtx 1060, inawezekana ukaona gaming laptop ila ikawa ni dhaifu zaidi
 
ungeweka specs na bei mkuu, sababu gaming laptop zipo zenye gtx 750, 950, 1050, 1650 etc zote hizi hazifikii gtx 1060, inawezekana ukaona gaming laptop ila ikawa ni dhaifu zaidi
Mkuu siuzi laptop nipo kwenye magari na parts zake kwa sasa hivi hizo Laptop nilifanya muda sasa hivi nanunua nikitaka za kutumia au mtu akiagiza mimi nawafungua kuwa hivyo vitu sio hatari kwa SA ambazo kidogo ukiipata hata used ni hizo Apple Macbook pro za miaka ya karibuni ndio zinakua ghari kidogo...mkuu kwani mimi napata nini kukueleza kuwa sehemu fulani ni bei nzuri wewe unakomaa hoo zinaweza kuwa dhaifu, SA kwa Afrika wapo mbali sana kuhusu Electronics yeyote unayoifahamu fatilia hilo utapata kitu...
 
Na hii vp wataalam je iko vizuri? Kusukuma heavy games?

Na hizi ndizo sifa zake 👇View attachment 2384206View attachment 2384207View attachment 2384208View attachment 2384209
Nakushauri utafute desktop.... Gpu za desktop ni more powerful... Hint tafuta desktop tower minimum iwe intel i5 au i7 za 3rd gen price around 250k kama mfuko unaruhusu tafuta tower za 10th gen ata core i3.. Hii ina nguvu sana kuliko some i7 sa 6th gen kasoro 6700k...hakikisha psu ina atleast 300w..gpu unaagiza ata nje ni cheap zaidi gtx 1650 ya ddr6 inakufaa kama ni casual gamer.. Hii brand new mpaka bongo around 600k to 650k..ongeza na ssd kwa ajili ya windows unapata gaming performance nzuri.. Mfano ukipea gtx 1650 na i7 3770 inacheza game nyingi tu mpya kama far cry 6, fifa 23 in low or medium setting karibu na 60fps..hint ukipata tower ya dell optiplex kama 7010 ukaweka na i7 3770 itakukost around 300k to 350k ukiongeza na gtx 1650 na ram 12 to 16gb budget ya 1m ushapata mashine ukaongeza na monitor ata ya kawaida ya 60hz around 150k shughuli imeisha
 
But still 1060 is very capable until today
 
Unaizungumziaje pia hii radeon RX580 8gb, naona mtandaoni imekuwa bei cheap sana around laki 2 hadi laki 3+ bila sheeping.
 
Unaizungumziaje pia hii radeon RX580 8gb, naona mtandaoni imekuwa bei cheap sana around laki 2 hadi laki 3+ bila sheeping.
Ineandana na 1060 japo Rx 580 inazidi kidogo gtx 1060 maana zimetofautiana mwaka tangu zilipotoka.
 
Ineandana na 1060 japo Rx 580 inazidi kidogo gtx 1060 maana zimetofautiana mwaka tangu zilipotoka.
Bei imekuwa cheap kuliko hata hiyo gtx1060, AliExpress znapatikana kwa around 200,000
bt inacheza game zote mpaka hz demand kwa 1080p
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…