Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
- Thread starter
- #21
Btw mi sio mtaalamu sana ila specifications na bei. Mh!!!
4 gb RAM
core i5 processor
unaonaje zipo juu au chini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Btw mi sio mtaalamu sana ila specifications na bei. Mh!!!
watanzania mnajua computer kuliko hata manufactures wenyewe,,,haya bana
Fadhili nimejenga hoja.tetea biashara yako.toa points usilete kejeli.
Naona mnanishambulia.Mimi nime comment kwa jinsi ninavyozijua HP pavilion Dv series. Kosa langu liko wapi?uliza mafundi wote kuhusu pavilion dv series. Mother board zinakufa.na motherboard no $250.zilitengezwa kwa ajili ya nchi za baridi.ndiyo maana hakuna pavilion dv series dukani.zote ni used na coz hazitengenezwa kwa ajili ya Africa.

Fuatilia hiyo link
Pole mkuu, nami nashangaa, haujatukana mtu wala kutumia lugha kali zaidi ya kutoa comments ila washambuliwa. Nakuunga mkono, asilimia kubwa ya hizi HP pavillion nyingi Zina matatizo ya motherboard kuharibika. Mwenye kuchukua ushauri achukue, na mwenye kupuuza apuuze. Alafu weka picha yake halisi, hiyo hapo attachment sidhani kama ndo halisi, mwonekano pia kwa baadhi ya watu una matter.
Sasa IT na mamb ya overheat tang lini yanaingiliana, kama huna hoja tuliaa wakusoma weeeee
Haya na wewe barafu ya moto umeshaonekana kama upo, sijuwi na wewe ni wa kusoma kama huyo rafiki yako?
Ingia kwenye mtandao pia usome disadvantages za hp pavillion dv6 kwenye forums uhakikishe hili. Ni kweli hizi hp pavillion dv6 nyingi zina-overheat na nyingi motherboard huungua. Nimeshuhudia tatu zenye hii ishu. Nenda pia hapa usome baadhi ya forums HP pavillions DV6 disadvantages, pia samahani kwa mleta uzi. Sio kukubania ila ni kuweka mbichi na mbivu za HP pavillion pia.
Hapana, sina nia mbaya wala. Usihofu. Lazima kuna mtu anahitaji huu mzigo, hivyo utampata tu. Sina nia mbaya ndugu, nielewe hivyo.
watanzania mnajua computer kuliko hata manufactures wenyewe,,,haya bana
Fadhili umesoma IT we we?pavilion dv series ni series hizo hizo.iwe dv6,dv7zote dv series kaka.sawa sawa useme HP DC 700 dc800 au useme dell optiplex 360 optplec 370.