SOLD: Laptop inauzwa bei rahisi kabisa

SOLD: Laptop inauzwa bei rahisi kabisa

Naona mnanishambulia.Mimi nime comment kwa jinsi ninavyozijua HP pavilion Dv series. Kosa langu liko wapi?uliza mafundi wote kuhusu pavilion dv series. Mother board zinakufa.na motherboard no $250.zilitengezwa kwa ajili ya nchi za baridi.ndiyo maana hakuna pavilion dv series dukani.zote ni used na coz hazitengenezwa kwa ajili ya Africa.

Unatufaa huku nyanda za juu kusini full kipupwe..! Au wewe unajua baridi ipo ulaya tu??
 
Sio computer hizo.zina overheating balaa.zinakufaga board.hazifai

Hazifai hazifai hizo machine.nafanya kazi za IT zaidi ya miaka 8nazijua pavilion.ni uchafu tu

Naona mnanishambulia.Mimi nime comment kwa jinsi ninavyozijua HP pavilion Dv series. Kosa langu liko wapi?uliza mafundi wote kuhusu pavilion dv series. Mother board zinakufa.na motherboard no $250.zilitengezwa kwa ajili ya nchi za baridi. ndiyo maana hakuna pavilion dv series dukani.zote ni used na coz hazitengenezwa kwa ajili ya Africa.

Usimharibie mwenzako. Kwanza kabisa niseme huzijui hizi laptop kabisa.
Hapo pekundu ni uongo uliokubuhu. Nina HP Pavilion DV 6700 (4 GB Ram, 250 GB HDD, AMD Turion Processor, Duo Core) nilinunua mnamo 2008 pale Kisutu, karibu na ofisi za Dar Express, ndo ninayotumia kuandikia post hii. Sasa unaposema hazipo madukani, ina maana wewe unafahamu kila duka linalouza laptop nchi hii? 2008 mpaka leo ni miaka 6, utachukua mwaka mzima kunishawishi kwamba hizi laptop ni mbovu, kwa sababu tangu nimeinunua nimebadili betri mara moja tu.
 
Hatujuza mzuia MTU kununua.anayetaka kununua anunue.tembelea workshop 3za computer huko dar es salaam.ulizia matatizo ya HP pavilion dv6
 
Naunga hoja ya Wakusoma, Hp sio Laptop, ni machine zinazopata Moto sana na ni nyepesi kuungua kwa Motherboard na hata Battery yake kukaangika mapema. Hp haihitaji joto kabisa. Ukweli ni lazima usemwe ili ujue unanunua kitu gani.
 
Usimharibie mwenzako. Kwanza kabisa niseme huzijui hizi laptop kabisa.
Hapo pekundu ni uongo uliokubuhu. Nina HP Pavilion DV 6700 (4 GB Ram, 250 GB HDD, AMD Turion Processor, Duo Core) nilinunua mnamo 2008 pale Kisutu, karibu na ofisi za Dar Express, ndo ninayotumia kuandikia post hii. Sasa unaposema hazipo madukani, ina maana wewe unafahamu kila duka linalouza laptop nchi hii? 2008 mpaka leo ni miaka 6, utachukua mwaka mzima kunishawishi kwamba hizi laptop ni mbovu, kwa sababu tangu nimeinunua nimebadili betri mara moja tu.

Weka picha yake tena ikionyesha jf kabisa ... waache uongo watasutwa mchana kweupe loh
 
Naona mnanishambulia.Mimi nime comment kwa jinsi ninavyozijua HP pavilion Dv series. Kosa langu liko wapi?uliza mafundi wote kuhusu pavilion dv series. Mother board zinakufa.na motherboard no $250.zilitengezwa kwa ajili ya nchi za baridi.ndiyo maana hakuna pavilion dv series dukani.zote ni used na coz hazitengenezwa kwa ajili ya Africa.

Mimi ninazo HP pavilion dv 1000 nne ofisini tangu 2006 mpaka Leo zinatumika.
 
katika mashine nilizowah tumia nikazipenda and no heat kabisa ni GATEWAY.
 
Weka picha yake tena ikionyesha jf kabisa ... waache uongo watasutwa mchana kweupe loh

Kwa kuwa ni mwanafunzi nimemsamehe bure tu. Ila nitahitaji mwaka mzima wa kushawishiwa. Ninayo mwaka wa sita huu na sina mpango wa kuiacha.
 
kama vile naziona matipoz, nyingine zikiendelea kuponda na nyingine zikiendelea kutetea.
 
kama vile naziona matipoz, nyingine zikiendelea kuponda na nyingine zikiendelea kutetea.

Ndugu stineriga, wewe uko JF miaka miwili sasa. Ukisoma jukwaa la matangazo lina wakatisha tamaa wengi sana, unaweza usinunue kitu kama una nia hiyo, hasa ukifuata comments za negatives. Lakini still bado watu wanafanya biashara. Mie nina hiyo HP tangu 2008 na haina tatizo mpaka sasa, nitaanzaje kusema model hiyo ni mbovu? Mwingine hapo juu kasema anazo 6 tangu 2006 na hazina shida, sasa ukisema HP za model hio ni mbovu unadhani atakuelewa? Ni mitazamo tu ya watu.
 
Last edited by a moderator:
Hii ndio point ambayo ulitakiwa uwanze nayo.

Btw mi sio mtaalamu sana ila specifications na bei. Mh!!!
Kwa specifications hizi, iko poa sana, na inaendana na bei maana amesema bei ni negotiable pia. Ram 4, processor i5, hhd 500Gb, battery last for atleast 3 hrs. SPECIFICATIONS ziko poa kabisa zaendana na bei, sababu ni used, ingekuwa mpya, bei ingekuwa juu zaidi.
 
Mwanga au mchawi si laxima aruke na ungo wanaorudisha nyuma biashara ya huyu.jamaa ni

wanga+wachawi=watu wasiopenda maendeleo ya watu

Mwenzako anatangaza ww unaharibu sio ustaarabu huo unaonekana ni mtoto au hujayajua maisha yaan sawasawa kuna mgonjwa kalazwa dokta anamkarimu yakuwa atapona ww unakuja unamwambia mgonjwa huponi utakufaa

Mwehuuu weweee kawaida ya vitu vya moto vinadumu kutokana na matumixi ya mtuu
 
Naona mnanishambulia.Mimi nime comment kwa jinsi ninavyozijua HP pavilion Dv series. Kosa langu liko wapi?uliza mafundi wote kuhusu pavilion dv series. Mother board zinakufa.na motherboard no $250.zilitengezwa kwa ajili ya nchi za baridi.ndiyo maana hakuna pavilion dv series dukani.zote ni used na coz hazitengenezwa kwa ajili ya Africa.

Mkuu siyo.fresh hata kidigo kama we umeona haifai vunga kafungue uzi wako ueleze mapungufu ya pc mbalimbali tutaku support sana mbona wenzako wanafichua kuhusu simu siyo kuja kuharibu biashara ya mtu
 
Ila sio vibaya kufanya review ya product, hata kwenye online market watu wanatoa comments za kusifia na kukosoa bidhaa. mnamshambulia bure huyo kijana wakusoma
dikembe, the way dogo alivyoleta hio criticism ndio ambayo hatujaipenda. Hatukatai wala kupinga constructive criticism. Hata laptops nyingine za Lenovo, Dell, Acer, Asus, Fujitsu etc zina pros and cons zake, lakini the way hea reacted na kusema HP hazipo madukani ndio tunachokipinga. I own one since 2008 and is still going strong.
 
Last edited by a moderator:
Ila sio vibaya kufanya review ya product, hata kwenye online market watu wanatoa comments za kusifia na kukosoa bidhaa. mnamshambulia bure huyo kijana wakusoma

Ni kweli lakin kwa nini akosoe wakati nwenzie anauza jamani mbona dhambi lakin
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom