barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mi hapa nafanya biashara sijaja kufanya review ya laptop, kama unazijuwa sana nenda jukwaa la tech & gadgets kaelezee huko wakuelewe, unaelezea ubaya wa bidhaa dukani kwa mtu mbele ya mteja?.
MUNGU ATAKULIPA.
Naona mnanishambulia.Mimi nime comment kwa jinsi ninavyozijua HP pavilion Dv series. Kosa langu liko wapi?uliza mafundi wote kuhusu pavilion dv series. Mother board zinakufa.na motherboard no $250.zilitengezwa kwa ajili ya nchi za baridi.ndiyo maana hakuna pavilion dv series dukani.zote ni used na coz hazitengenezwa kwa ajili ya Africa.
Sio computer hizo.zina overheating balaa.zinakufaga board.hazifai
Hazifai hazifai hizo machine.nafanya kazi za IT zaidi ya miaka 8nazijua pavilion.ni uchafu tu
Naona mnanishambulia.Mimi nime comment kwa jinsi ninavyozijua HP pavilion Dv series. Kosa langu liko wapi?uliza mafundi wote kuhusu pavilion dv series. Mother board zinakufa.na motherboard no $250.zilitengezwa kwa ajili ya nchi za baridi. ndiyo maana hakuna pavilion dv series dukani.zote ni used na coz hazitengenezwa kwa ajili ya Africa.
Usimharibie mwenzako. Kwanza kabisa niseme huzijui hizi laptop kabisa.
Hapo pekundu ni uongo uliokubuhu. Nina HP Pavilion DV 6700 (4 GB Ram, 250 GB HDD, AMD Turion Processor, Duo Core) nilinunua mnamo 2008 pale Kisutu, karibu na ofisi za Dar Express, ndo ninayotumia kuandikia post hii. Sasa unaposema hazipo madukani, ina maana wewe unafahamu kila duka linalouza laptop nchi hii? 2008 mpaka leo ni miaka 6, utachukua mwaka mzima kunishawishi kwamba hizi laptop ni mbovu, kwa sababu tangu nimeinunua nimebadili betri mara moja tu.
Nimeangalia specification,price bado kuna negociation dah napata wasiwasi
Naona mnanishambulia.Mimi nime comment kwa jinsi ninavyozijua HP pavilion Dv series. Kosa langu liko wapi?uliza mafundi wote kuhusu pavilion dv series. Mother board zinakufa.na motherboard no $250.zilitengezwa kwa ajili ya nchi za baridi.ndiyo maana hakuna pavilion dv series dukani.zote ni used na coz hazitengenezwa kwa ajili ya Africa.
Weka picha yake tena ikionyesha jf kabisa ... waache uongo watasutwa mchana kweupe loh
Kwa kuwa ni mwanafunzi nimemsamehe bure tu. Ila nitahitaji mwaka mzima wa kushawishiwa. Ninayo mwaka wa sita huu na sina mpango wa kuiacha.
kama vile naziona matipoz, nyingine zikiendelea kuponda na nyingine zikiendelea kutetea.
Kwa specifications hizi, iko poa sana, na inaendana na bei maana amesema bei ni negotiable pia. Ram 4, processor i5, hhd 500Gb, battery last for atleast 3 hrs. SPECIFICATIONS ziko poa kabisa zaendana na bei, sababu ni used, ingekuwa mpya, bei ingekuwa juu zaidi.Hii ndio point ambayo ulitakiwa uwanze nayo.
Btw mi sio mtaalamu sana ila specifications na bei. Mh!!!
Naona mnanishambulia.Mimi nime comment kwa jinsi ninavyozijua HP pavilion Dv series. Kosa langu liko wapi?uliza mafundi wote kuhusu pavilion dv series. Mother board zinakufa.na motherboard no $250.zilitengezwa kwa ajili ya nchi za baridi.ndiyo maana hakuna pavilion dv series dukani.zote ni used na coz hazitengenezwa kwa ajili ya Africa.
dikembe, the way dogo alivyoleta hio criticism ndio ambayo hatujaipenda. Hatukatai wala kupinga constructive criticism. Hata laptops nyingine za Lenovo, Dell, Acer, Asus, Fujitsu etc zina pros and cons zake, lakini the way hea reacted na kusema HP hazipo madukani ndio tunachokipinga. I own one since 2008 and is still going strong.Ila sio vibaya kufanya review ya product, hata kwenye online market watu wanatoa comments za kusifia na kukosoa bidhaa. mnamshambulia bure huyo kijana wakusoma
Ila sio vibaya kufanya review ya product, hata kwenye online market watu wanatoa comments za kusifia na kukosoa bidhaa. mnamshambulia bure huyo kijana wakusoma