Amefariki!!!!Hkuhudhulia msiba wake pale ubungo
Si ajabu Mama Mchungaji analea katoto.Huyu lara 1 alikuwa na story zake kali tu jukwaa hili la MMU.. yupo hai au kashavuta maana ni miaka sasa sijaona story zake....
Huyu lara 1 alikuwa na story zake kali tu jukwaa hili la MMU.. yupo hai au kashavuta maana ni miaka sasa sijaona story zake....
Huyu lara 1 alikuwa na story zake kali tu jukwaa hili la MMU.. yupo hai au kashavuta maana ni miaka sasa sijaona story zake....
Ina maaana aligegedwaa akapotea mazima... tushazoea igweeeeeeeeWatu wakitongozwa humu kisha ' Wakabanduliwa ' na waliowatongoza halafu wakajuana A to Z baadae wakishatibuana / wakigombana na Kuachana upesi sana huachana na ID's zao zinazojulikana na zilizozoeleka kisha wanaanzisha mpya ili ile iliyozoeleka na ' Mbanduaji ' aizike rasmi kukwepa Kuchoreshwa na hata Kuumbuliwa jinsi alivyo Kibaiolojia. Naomba niishie hapa tafadhali.
Ina maaana aligegedwaa akapotea mazima... tushazoea igweeeeeeee
dohHuyu lara 1 alikuwa na story zake kali tu jukwaa hili la MMU.. yupo hai au kashavuta maana ni miaka sasa sijaona story zake....
Ina maaana aligegedwaa akapotea mazima... tushazoea igweeeeeeee
Hata mim nmemmiss jamani
Si ajabu Mama Mchungaji analea katoto.
Aliaga hapa kuwa atakuwa anatumia muda wake mwingi kumtumikia Mungu
Lala 1 kapata bwana mpya aliyemzuia kutumia mitandao dada wa watu japo anaipenda jf kafikiria ndoa zilivyongumu akaamua anunue simu ya tochi japo shingo upande!