Lara 1 yuko wapi?

Lara 1 yuko wapi?

Proffesor

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2014
Posts
2,164
Reaction score
2,968
Huyu lara 1 alikuwa na story zake kali tu jukwaa hili la MMU.. yupo hai au kashavuta maana ni miaka sasa sijaona story zake....
 
Huyu lara 1 alikuwa na story zake kali tu jukwaa hili la MMU.. yupo hai au kashavuta maana ni miaka sasa sijaona story zake....
upload_2018-2-8_10-12-21.png
 
Huyu lara 1 alikuwa na story zake kali tu jukwaa hili la MMU.. yupo hai au kashavuta maana ni miaka sasa sijaona story zake....

Watu wakitongozwa humu kisha ' Wakabanduliwa ' na waliowatongoza halafu wakajuana A to Z baadae wakishatibuana / wakigombana na Kuachana upesi sana huachana na ID's zao zinazojulikana na zilizozoeleka kisha wanaanzisha mpya ili ile iliyozoeleka na ' Mbanduaji ' aizike rasmi kukwepa Kuchoreshwa na hata Kuumbuliwa jinsi alivyo Kibaiolojia. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Ametekwa na watu wasiojulikana, atarudi Baada ya mwaka mmoja!
 
Shortly kuna watu wanakimbia ili kuzikimbia Aibu zao humu ,, Na wakija wanakuja na ID mpya !!.

MTU keshachojolewa vyupi ,alafu jamaa anamtema ,hahah Mara nyingi lazima apotee ili kujichia aibu akirudi anarudi na ID mpya !!.

Sembuse naye anasoma huu Uzi , chezea kugegedana kwa hasara!!.
 
Watu wakitongozwa humu kisha ' Wakabanduliwa ' na waliowatongoza halafu wakajuana A to Z baadae wakishatibuana / wakigombana na Kuachana upesi sana huachana na ID's zao zinazojulikana na zilizozoeleka kisha wanaanzisha mpya ili ile iliyozoeleka na ' Mbanduaji ' aizike rasmi kukwepa Kuchoreshwa na hata Kuumbuliwa jinsi alivyo Kibaiolojia. Naomba niishie hapa tafadhali.
Ina maaana aligegedwaa akapotea mazima... tushazoea igweeeeeeee
 
Ina maaana aligegedwaa akapotea mazima... tushazoea igweeeeeeee

Ukishaona naandika halafu mwishoni namalizia na hiyo Sentensi ya ' naomba niishie hapa tafadhali ' halafu naikoleza na rangi Nyekundu jua ya kwamba kuna Kitu ' Nyeti ' nimekistahi hapo na Kimaadili sitakiwi kukiweka wazi na huwa nikishaandika hivyo sipendi tena kuambiwa niendelee kuelezea.

Kila la kheri.
 
Ina maaana aligegedwaa akapotea mazima... tushazoea igweeeeeeee
Hata mim nmemmiss jamani
Si ajabu Mama Mchungaji analea katoto.
Aliaga hapa kuwa atakuwa anatumia muda wake mwingi kumtumikia Mungu
Lala 1 kapata bwana mpya aliyemzuia kutumia mitandao dada wa watu japo anaipenda jf kafikiria ndoa zilivyongumu akaamua anunue simu ya tochi japo shingo upande!

msijali money penny nipo!
 
Wengi wakiolewa wanapotea majukum ya familia yanawazidi, maamuzi ya kuacha kutumia mitandao, uchumi kubaki na nokia tochi, kubadili id kwa sababu zake
 
Back
Top Bottom