Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Maybe she's not okay,or probably dead!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa taarifa mbaya sana kwa wapenzi wa story zakeMaybe she's not okay,or probably dead!
ONGEZA SAUTI MKUUWatu wakitongozwa humu kisha ' Wakabanduliwa ' na waliowatongoza halafu wakajuana A to Z baadae wakishatibuana / wakigombana na Kuachana upesi sana huachana na ID's zao zinazojulikana na zilizozoeleka kisha wanaanzisha mpya ili ile iliyozoeleka na ' Mbanduaji ' aizike rasmi kukwepa Kuchoreshwa na hata Kuumbuliwa jinsi alivyo Kibaiolojia. Naomba niishie hapa tafadhali.