Lara l live interview on DJ sepetu show!!

Lara l live interview on DJ sepetu show!!

@Lara1 Unaongea kama wanaume wameharibu saikolojia yako

mI NAONGEA UKWELI. kUMBUKA NIKO FRONT NA MLIPO NYIE KUKAA KUENDEKEZA WANAUME HUKU MAISHA YAKIWALA tIGO NISHAPITIAAA NA NAKUJUA VIZURI. Wanaume wameharibu saikolojia yenu kuona ukiwa na mwanaume umemalizaa hata kama nakupiga free pumbu. LOL!

Nashukuru Mungu huko nimetokaa sasa hivi naangali dunia kama ilivo. Dunia ni pesa na pesa ndo naitizama.
 
@Lara1 Unaongea kama wanaume wameharibu saikolojia yako

mI NAONGEA UKWELI. kUMBUKA NIKO FRONT NA MLIPO NYIE KUKAA KUENDEKEZA WANAUME HUKU MAISHA YAKIWALA tIGO NISHAPITIAAA NA NAKUJUA VIZURI. Wanaume wameharibu saikolojia yenu kuona ukiwa na mwanaume umemalizaa hata kama nakupiga free pumbu. LOL!

Nashukuru Mungu huko nimetokaa sasa hivi naangali dunia kama ilivo. Dunia ni pesa na pesa ndo naitizama.
 
Osokoni ulimpata?

Osokoni sikumpata bwanaaaa. Yaani nilikaribia kumpataa, akataka kunipiga free P nikapotezeaaaa. Mshenziii tu yule. Nikaja kupata stroy zake huyo demu wake alie achana nae hana lolooote, hamhudumii hata kidogoooo. anavaa ronya ronya za kariakooo za 10,000 za wakinga ndugu yangu na simple za kumwagwa chini. Kapaukaaa sio kidogooo. Ndo kisa cha kumuacha. Na mimi nikatoka ndukiiiiiiiiiii.
 
Sasa unapataje utamu wa ndizi bila kumenya ganda shost?

Huoni unajipunja utyamuu?

Aaaah wapi! Nishapiga kavu sema stress zake kubwaa. kupima pima ukimwi. Wanaume wenyewe kina Mkinga wa semitreall bank huko wana mlala kila mtu. Akigusaa tu anakubaliwaaa. Kwanza anatongozwa. Hoteli yake ya Makambako unaambiwa sio wahasibu, sio wahudumu wote wanamtaka na kumtongozaaa si wanajua pesa ipooo. Haya maradhi ndugu zangu nje njeeeee. Labda nije nimpate mtu muaminifu sijui kiasi gani ila sio hawa wa sahivi. Chapa ilaleee.

Acha kuporomosha poromosha mimba, umri wenyewe huu umeenda vizazi delicate sanaaa. Naendelea tu kutumia kinga.
 
one of the best interview ever
sio mimi sitaki hilo swal
mara hayo hayakuusu
kidogo me nisingependa kuongelea hayo
[HASHTAG]#nyoooooooooooooooooooooo[/HASHTAG]
big up lara 1
ila upande wa jinsia bado sijajiridhisha [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
 
Naona km anafurahisha jukwaa tu

Heheheeeee! IN THIS LIFE WE GET FEW CHANCES AND IF YOU DONT GRAB THOSE CHANCES BY THE BALLS YOU WILL END UP WONDERING HOW YOU BECAME SECOND RATED.

Sasa tuko wote JF, tofauti mi napewa MAMILLION KIUTANI UTANI na nyie mnajifanya HOLLIER THAN THE POPE HIMSELF mnapiga jarambaaa. Mkipata sanaa ni kukoswa koswa na FREE P. Heheheeeeeeeee! (Simaanishi wewe personally ila generally speaking)

WHY? Because i have more guts and balls to make shit happen. To make connections from IDs to personal connection. Naingia front kupambana. Kama pesa sina naomba mchana kweupeee na napewa. Hata mkisemaa lolote mi maisha yangu yanaenda mbele daima nyuma mwiko! Kama mwana yanga damu.
 
TRUE LOVE IKO ILA IS VERY VERY ETREMELY TRICKY INATAKA SACRIFISES NYINGI SANAAA, NA KUJIFANYA MJINGAAA SANAAA, TAKING LOADS AND LOADS OF SHIT KIUKWELI INATAKA TRUE AND NOTHING BY THE TRUTH LOVE. Daaaaaaah! Kwangu najiapizaga siku 2 nyingi nashindwaaaaa.

Kama ningkuwa mtu wa True Love basi ningekubali Mkinga tuoane (Sio anioe, hapanaaaaa kabisaaa) Ila wapiiiiii!!!!!!!!! Sifadhilikiiii, sina shukraniiii. Watu wakisema Mkinga mbayaaa mfupi, ataniharibia watoto wanaume wenye pesa kibaooo kisa cha kuzaa vi mapembeleooo na mimi nimo kwenye kuunga mkono hoja. Hahahaaa! Mama anasemaga mwisho wako utakuwa mbaya sanaaaa. Hahahahaaaaa! Kama umeshindwa kumthamini huyu kaka wa watu baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaassssss. Heheheeeeee

Mi mtu wa FACT NA LOGICS, Philosphy yangu In this world i walk alone. kwanza duaniani kuna watu billion ngapi sijui. Cha kukomaa na mmoja kisaaa? Kama nilimpata mkinga nitapata zaidi yake vile vile.

Wanaume nakutana nao, wananipagawishaaaa sanaa kabla sijawajuaaaa. Nikiwajua sasa pale true love inapohitajika ndo nakuwa sipatikani hewani netwrok hamnaaaa, hamnaaaa.

Mifano michache, kuna bwana nilikuwa nae kuna kipindi na mkinga alivozaa na mttu wa kwanza nikambwagana nae kabisaa kabisaa. Sasa huyu kaka alikuwa mzuriii hatari, msomiii mwenzanguuu, nduguuu sema ndo FRE P hatariii. Akawa anaiambia nimchukulie million 5 kwa maza wangu afanye biashara, hizo pesa zangu nilimkopesha maza. Nikakubali mwanzo cause alikuwa na mawazo viable. Na msione namuita free p mkajua useless aliniuguzaa sanaa, niliumwa hapo kati. Nilivoenda kwa maza alinitukana matusi ya nguoniii mpaka akili ikanikaa sawa. Baadae nilikuja kujua pamoja na logic ya maza, bi mkubwa hakuwa na nia ya kulipa ile hela hata nukta sasa kumdai nikahonge ndo ikamtibua zaidiii. Bora nimsamehe yeye mzazi wangu.

Niakkaa kaa nae kama miaka mi 3, nothing was happening, hapati pesa, ana kazi yake hio hio ya laki 5 nikaona natupa maishaaa hivi hivi. Alicheat na akaomba msamaha something i could have overlooked hakuna serial cheater kama mkinga namsaehe kutokana na njaa zangu ila yule nilimshiki kidedea sio cha nchi hii, nilikuwa namtaftia sababu.

Aliniomba turudiane, nikawa nazungushaaaaa. Akaja kupata kazi bandariii, weeee sio ya kitoto. Nikakubali turudiane sasa akawa ahajasamehe basi kila mda ananikumbusha nilivomla Tigo wakati hana hela. Akacheat tenaaa. Aaaaaah! Afu sahivi si ana pesa hakuomba msamaha wala nini. Akawa anataka automatic forgivenss kama za Mkinga. Kmaninaaaa nika achaa nae.

Akaanza kutaka kunirusha rohooo. Nikarudiana na mkinga. Mpaka alihama mji yuko bandari ya Tanga. Heheheheeeeee! Alitaka kiki nikampa za pikipiki. Sio nili mu exterminate nilimu assasinate kabisaaa.

Sema if i think of it nikiwa nimetuliza akili, na nyege na kila kituuu I COULD HAVE DONE BETTER. He treated me well, basi tu, sina TRUE LOVE.

Na yule punda niliwapa story yake mwaka huu huu nampenda sanaaa, kadakwa hongkong, kapigwa miaka mi 5 jela. Nishaenda China mara 2, kwenda gereza alilofungwa ni $$$200 tu, ila sijaenda na wala mpango wa kwenda sinaaa. Nitakuja kujuta miaka mi 5 baadae akitoka maana wafungwa wa hongkong wana ajiriwa kabisaaa wanalipwa juzi kuna mwanae alikuwa ananiambia atatoka na pesa ndefu sanaaaa.

GET RICH OR DIE TRYING
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti kuzaa mpembeleo!!!! Lara nyoko wewe!
 
Lara,naweza kuwa mfuasi wako no one na ninakukufuatilia kwa ukaribu story zako,ninahitaji kujua mume/mpz wako unahisi anahitaji nini zaidi kwako ili kudumisha mapenzi.

Mpenzi yoyote anahitaji

1. UMZIDI AKILI. Hili ndo la msingi sanaa tena nondo. Mkitoshana akili tu hapo ishakuwa issue. Ukimzidi akili unamfanyia kile anachoona yeye kinamfurahisha na anakihitaji. Hapa la kusistiza watu SIO SAWA. Hakuna general principles customization ya hali ya juu inahitajikaaa kumsoma mtu mpaka umuelewe na umfauluuu ndo mtaenda sawaaa. Mfano Mkinga anapenda mwanamke fighter, uende front, usikae buree. Uwe unapambana masaa 24 kama yeye ndo mtaenda sawa. Ukitaka kumla hela omba pesa za biashra anakumininia. Omba za gauni hata 20,000 hakupi ngooooo. Kwanza utamtibuaa kabisaaa. Nina bwana wangu yeye hapendi kabisaaa mwanamke uende front. Anataka ukae ndani akuhudumieee yeye, anachokupa pesa za kingese tu, elfu 50 kwa 70 na front usiende. Point is watu wanatofautiana.

2. KU SACRIFICE. (Hapa mimi nimepata 0 mwenzenu, nimefeli kabisaaa) Inahitajika kujitoaaa sanaa na kuacha umimi kuweka usisi. Umjali mwenzio na kumuweka kwenye maisha yako na mipango yako ya mbele. Kumpa support hata kama dunia nzima itakuona lafa tu, na ni upimbi unaofanya just do it. That is how you win peoples heart. Usiende kwa codes za mjini. Marufuku kumpa mwanaume pesa sijui nini utapotea kama sisi wa mjini tulivopoteaa. Hata wazazi wetu hapa ndo paliwabeba sanaa. Bwana akihamishiwa mkoani sacrifise kazi mfatee huko huko. Taishi kwa shida ila baadae mtatoboa. Kuna watu wamewapa mabasha zao mitaji na sahivi wako vizuriii, wana make progress, kitu ambacho binafsi ungese huo sifanyi, bora hio pesa nimpe maza wangu ataniachia radhi yake itanifaa huko mbele.


3.FORGIVENESS. (hAPA NAPO NIMEKULA MSWAKII MWINGINE FF) Love is not built in good deeds rather forgiving the unforgivable bila kudai fidia. Hapa twende sawa kama mimi kwa Mkinga nilikuwa compansated mara zote 2 alizozaa nje, tena sio kwa vitu vidogo once ndo hizo heka 10, second aliniongezea mtaji, sasa huu sio msamaha ni kulipana fidia. Msamaha ni kama ningemsamehe buree kabisaa na kukataa fidia ingeniongezeapoints sio kidogo. Heheheeee! Wanaume wote washezniii tofauti yako na wanawake wenzio wenzio wana samhehe madudu makubwa sanaa, wewe una standards za juu sana. Ndo maana wanawake wengine wazuriii sana, wana kila kitu na awaolewiii na wanatamani kuolewaaa. Hapa ndo wanapochezea mswakii. Mfano Mke wa Prince Williams, Kate Middleton, aliachwa karibia miaka sijui 6 ile, Prince anatembea na vitoto royal, vitoto vibichiii, vitamuuu hatari. Yeye alibakia single mda wote ingekuwa mimi ningefanya umalaya kuanzia Chelsea mpaka Manchester mpaka Totenham sio kwa gundu la kutoswa na Prince. Na Price alivorudi warudiane hakuleta standards za juu na vinyongo alimpokea fasta fasta cause that is what she wanted, that is who she loved. Eneo hili inabidi uwe falasi sanaaaa.

HIVO VI 3 TU.
 
Back
Top Bottom