Lara l live interview on DJ sepetu show!!

Lara l live interview on DJ sepetu show!!

Elimu yako ni ipi mpaka sasa na Je Chuo na GPA kubwa vinaweza kuamua ubora wa maisha ya mtu?

Pia ulipotea sana Jf je uliamua au sababu binafsi ila kama hutojali waweza sema.

Elimu yangu ni Degree, Masters, CPA (T)

Chuo na GPA ni muhimu sanaaaaa. Ukiwa na GPA kubwa hutoteseka sanaaa kupata kazi. Na ili upate mtaji kwa sisi watu wa chini mpaka usugue lami kazini si chini ya miaka mi 5. Kama mwanamke bila GPA utavuliwa chupi sanaaaa, ama sivo uwe na connections na marefa.

Asikudangaje mtu GPA matters a lot katika maisha. Haswaa ya under graduate. Ukiharibu hii baaasi vitu vingine havikusadiii. Hata uwe na PHD lazima wacheki under graduate una GPA ya ngapi. So wadogo zangu pigeni shulee acheni ungesee ungesee, maisha yanafilaaaaa ni balaaaa. Mimi binafis dada yenu mara paaap narudishwa shuleee hivi na umri narudishiwa nitasomaaa kama mngese gani sijui. Nalala maktabaaaa, nawaambiaaa. Laiti mngejua ufilaji wa maisha ulivoooo msingeendeleza ungese mnaofanya hapo chuo badala ya kupiga kitabu. Na asilimia 80 ya wanao feli shule lazima WANAFELI MAISHA.

Hio 20 ya kina Lara 1 unatakiwa uwe jasiriii na mwenye roho ya pakaaa. Uwe jasiri kweli kweli. Kama mwanamke usiogope mi boloyankiii ya kila size na kila idadi yaaani uwe tayari kwa mapambano tena mapambano kweli kweliii. Ooooooohhhhhhh! Kama unaweza kusoma we somaaaa tu, bora ukomae ukile kiboga kitabuuu na GPA hizo zote unazila Tigo kuliko kungoja kusikizia kifilo cha maishaaaa. Heheheeee. Woiiiiiiiiiiiiiiiii!

Mimi niliepitia kifilo cha maisha nawaambia sio mchezooo sio masihara mwenye kusikia asikie. nawaachia hizi kauli mbilimzizingatie sanaaa.

1. GET RICH OR DIE TRYING

2. IN THIS LIFE WE GET FEW CHANCES IF YOU DONT GRAB THOSE CHANCES BY THE BALLS YOU WILL END UP WONDERING HOW YOU BECAME SENCOND RATED. GRAB THE GPAS AND EDUCATION BY THE BALLS. TIGHTLY.

Jf sjapotea only niko busy napambana na maish.
 
Sija sex na wanaume wengi kabisaaa, kama millage basi sijandaa maana kwanza WANAUME WANAPENDA FREE P HAKUNA MFANOOOO. Ukikuta mtu kaenda millage jua ni mdau wa FREE P. Mwanaume mpaka akupe pesaaa sio mchezooo nawaambia. Wengi wanaamua iwe basiiii, kwani ina TV ndani, ndo salama yangu.

Afu hamuwezi kuamini, wanaume waliocha historia maishani mwangu wala hawakutaka sex. Walinisaidiaaa tu baaaas. Na nilio sex nao zaidi ya kunieletea mambo ya kingese hamna nilichoambuliaaa. Haki nawaambiaaa ni ungese mtupuuu. Basi tu kwa wale niliochukua changu mapemaaa ndo kidogo nilijiffidia, wale niowapa bureee ilikula kwangu.

Wanaume ambao sitakuja kuwasahau maishani mwangu ni hawa.

Mr Ali, sijawahi kuonana nae, alikuwa boss wa shoga angu, nilikuwa natafuta kazi, akanipa bonge moja ya kaziiii. Hakuwahi kuniomba uchi wala sikuwahi kumpa mpaka nikaacha ile kazi.

Mr. S. Alifight sanaaa, sanaaaa kunitafutia kazi Sigara. Hanijui, simjui, aliniona kwenye interview tu. Alinifanyia manuva idara kama 3 ikashindikana kwa ungese wa pale sigara

Mkinga ali ni inspire sanaaa kuacha ungese wa kujibweteka kwa kufanya kazi moja ofisini na kurizika na laki 8 na maisha madogo ya kukaa hapa mjini nangaa sharubu. akanifundisha kutafuta pesaaa in the informal sector kwa kufanya tender, na kutafuta kazi tukatengeneza sanaa pesa pamoja mpaka tumegombana kila mtu anafanya kazi zake. Akanifundisha biasharaaa, jinsi ya kupata pesaaa. And since then i am not the same girl anymore. Day and night niko Front raw napambana na najua for a fact i can do anything, be anyone, go anywhere, become anything.


WA NJE YA JF WENGIII ILA NGOJA NITAJE WA JF TU. MAANA SITOMALIZA

MOTP. Alinipa pesa ya kodi, nilivamiwaga na majambazi ikabidi nihame, tukawa tumegombana na mkinga akanipa without any strings attached. Akaja kunipa pesa ya kutolea mzigo $$$ kwa roho safiii. Kwa mtu niliemjua JF tu, i will forver be gratefull. Hata akitaka UCHI anyday any time nampaaaa bureeeee. Plus tunasaidiana sanaa kibiasharaaa, sanaaa. He wants to see me suceed of which is rare to men. Hata nikiwa na wazo nahitaji kukopa pesa mpaka 5m na zaidi atanikopesha bila riba wala asset. Hawa ni watu mnakutana afu mnakuwa zaidi ya nduguuuu. Hata anikereeee vipiii sigombani nae ngooooooo! Hata kitokeee nini hata akija kupost picha papa langu JF namsamehe on the spot tunaendelea na urafiki wetu. Heheheee.

Von Mo Kuna kipindi maisha yalinifilaaaaaa sanaaa mpaka damu heheheee, nikawa sina pesa ya dawa. Von nae nilikutana nae humu humu tu, akawa ananipa pesa ya dawa kila wiki mpaka nikamwambia basi nimesimama kiuchumi. Na si chini ya 200,000 kwa wiki. Nilipoteza namba yake, nimejaribu kumtafutaa sanaa sijampataga. The guy is inactive siku hizi. All i know ni mtoto mdogo like 1990s but loaded. Aliniambia lara tafuta busiess niku support enzi za kikwete lakini. Akasema nitakupa 10m fanya analysis unataka kufanya biashara gani. Sijui kulogwaaa sijui vipi sikutafutaga nikawa nakomaa kukaba hela za dawa kila wiki, i guess niliona he was blaffing. Aliniambia sanaa. Kila nikilala usiku naikumbuka hio 10m. Von kama ukisoma hapa SIJABADILISHA NAMBA KAKA (jAPO MDOGO WANGU PESA ULIO NAYO HESHIMA YA KAKA UNAISTAHILI) FANYA KAMA KUNI CHECK HIVI. MARA PAAAAAP SIMU YAKO HII HAPA NAZIRAI. Si kwa uchumi wa Magu.

Kuna wmingine wa humu humu JF nae yuko USA sahivi, nikienda lazima nimtafuteee. Nilimpendaga tuuu, mzuriii na kazi anaiwezaaa. Naweza kupiga rematch. Na pesa alinipa pia oooooooh natakaga mchezo mie. Sema alinihurumia tu, maana nilikuwa mgeni mgeni nikaanza kumpa mambo, naona akaamua kunipa kiufta jasho, hela ya mboga tu. Nikija kwa Trump nitakutafuta baba, tupige rematch. Malaya malayaaa nae, humu katembea na watu kibaoooooo. Nikisema nimtaje hapa tutatafutanaaa mbona. Ila mzuriiii kama watu wa kwenye movies na kazi anaiwezaa mwenyewe nilishindwa kumkatalia nitategemea vipi wenzangu ndo wawewe. hahahaaaaa. Mkisikia MBWA KALA MBWA NDO HIII. Ndo 1 and only niliempa uchi usio na maslahi hapa JF. It was a mistake i will never repeat isipokuwa kama yeye antaka tuendelee na umalaya wake nitamfikiriaaa, maana kurudia dhambi si dhambi mpya.

JF KUNA WANAUME WA MAANA HATARI UKIWA NA NYOTA KAMA YANGU LAKINI HEHEHEEEEEE. Msije tu kunilogaaa. Sijasimulia kosa kosa zilizo nikosaaa, juzi tu nimekoswaaa tena na Free P, ilibakia kidogoooo tu, sema nilisalimikaaa.
Bibie nitafute na mimi.
Najiweza ila kiasi fulani hivi.

Mimi sitaki papuchi yako, napenda marafiki humu ambao tunaweza ongea lugha moja tukaelewana.

Mwaka Mmoja from school lkn sasa deal langu net yake ni km hilo la jamaa alitaka kukupa mtaji, per week or more.

Karibu.
 
Kuna kipindi ulituaga maadui wa free p, ilikuwaje ukarudi dimbani mama?

Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Mxiuuuuuuu! Zaidi ya UNGESE unadhani kuna kipi kilinikuta zaidi ya kunyosolewa qubic na maisha. Hahahaaaa! AAAAAAAAAAAAAAAAH! Sito rudia tenaaa ungese uleeeee. Nimekomaaaa kabisaaaa.

Siwezi hata kusema mambo ya aibu tu yale.
 
Mimba napataje kwa mfanooooo, maana mi sicheziii kavuuu hata siku moja. Simuamini mwanaume hata kwa kumtaniaaaa
Nikupe pesa yangu afu niramba sukari kwenye mfuko kamwe sitoi hiyo pesa..!
 
Back
Top Bottom