Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nilimsahau ujue?huyu muosha masefuria alinivuruga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nilimsahau ujue?huyu muosha masefuria alinivuruga
Gooduliza vitu realistic bna .am sory lakini ! tupo duniani kwa sababu tumezaliwa bna aaah
Mmh [emoji848][emoji848][emoji122][emoji122]
Ila MOTP kaokoka like seriously??hallelujah
Ccespy
Heaven Sent
Kulikoni mpendwa?Mh...
Haha since last year uncle, ntakutumia link usome kimya kimya, usije kufukua makaburi. Jamani, Glory be to God[emoji120] [emoji120] [emoji120]Dah imepita lini ngoja nitaitafuta nichukue busara zako huko kuna katoto ka kike hapa namlea natamani awe na busara zako akikua
Leo nimehesabu meno yako mpaka nimechoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama kwa nini usiwe co-host wa muosha ...........?huku tukiendelea na maswali yako binafsi tunaomba utupe commercial break.unazungumziaje mahusiano ya diamond na zari?
Aaah sidhani aisee[emoji122][emoji122]
Ila MOTP kaokoka like seriously??hallelujah
Ccespy
Heaven Sent
Aaah sidhani aisee[emoji122][emoji122]
Ila MOTP kaokoka like seriously??hallelujah
Ccespy
Heaven Sent
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Leo nimehesabu meno yako mpaka nimechoka
tundelee ! najua ushasex na wanaume wengi kiaina.je kuna ambae aliweza kuacha historia ya kitu flani kwako? like utamu zaidi au maumivu zaidi?????????? au mapene zaidi au alikukopa??????ilikuwaje na alikuwa mtu wa aina gani?
Hapana kuna mama mchungaji mwingine simuoni humuKulikoni mpendwa?
Jiachie dada lake host wa leo kaitendea haki kazi yake[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Nani huyo?Hapana kuna mama mchungaji mwingine simuoni humu
Mi umeniacha kwa kisa kile au
Hahaaaaaa imebidi ni quote hii post nisameheni tu......Lara 1 wewe kiboko[emoji2] [emoji2] [emoji2]Sija sex na wanaume wengi kabisaaa, kama millage basi sijandaa maana kwanza WANAUME WANAPENDA FREE P HAKUNA MFANOOOO. Ukikuta mtu kaenda millage jua ni mdau wa FREE P. Mwanaume mpaka akupe pesaaa sio mchezooo nawaambia. Wengi wanaamua iwe basiiii, kwani ina TV ndani, ndo salama yangu.
Afu hamuwezi kuamini, wanaume waliocha historia maishani mwangu wala hawakutaka sex. Walinisaidiaaa tu baaaas. Na nilio sex nao zaidi ya kunieletea mambo ya kingese hamna nilichoambuliaaa. Haki nawaambiaaa ni ungese mtupuuu. Basi tu kwa wale niliochukua changu mapemaaa ndo kidogo nilijiffidia, wale niowapa bureee ilikula kwangu.
Wanaume ambao sitakuja kuwasahau maishani mwangu ni hawa.
Mr Ali, sijawahi kuonana nae, alikuwa boss wa shoga angu, nilikuwa natafuta kazi, akanipa bonge moja ya kaziiii. Hakuwahi kuniomba uchi wala sikuwahi kumpa mpaka nikaacha ile kazi.
Mr. S. Alifight sanaaa, sanaaaa kunitafutia kazi Sigara. Hanijui, simjui, aliniona kwenye interview tu. Alinifanyia manuva idara kama 3 ikashindikana kwa ungese wa pale sigara
Mkinga ali ni inspire sanaaa kuacha ungese wa kujibweteka kwa kufanya kazi moja ofisini na kurizika na laki 8 na maisha madogo ya kukaa hapa mjini nangaa sharubu. akanifundisha kutafuta pesaaa in the informal sector kwa kufanya tender, na kutafuta kazi tukatengeneza sanaa pesa pamoja mpaka tumegombana kila mtu anafanya kazi zake. Akanifundisha biasharaaa, jinsi ya kupata pesaaa. And since then i am not the same girl anymore. Day and night niko Front raw napambana na najua for a fact i can do anything, be anyone, go anywhere, become anything.
WA NJE YA JF WENGIII ILA NGOJA NITAJE WA JF TU. MAANA SITOMALIZA
MOTP. Alinipa pesa ya kodi, nilivamiwaga na majambazi ikabidi nihame, tukawa tumegombana na mkinga akanipa without any strings attached. Akaja kunipa pesa ya kutolea mzigo $$$ kwa roho safiii. Kwa mtu niliemjua JF tu, i will forver be gratefull. Hata akitaka UCHI anyday any time nampaaaa bureeeee. Plus tunasaidiana sanaa kibiasharaaa, sanaaa. He wants to see me suceed of which is rare to men. Hata nikiwa na wazo nahitaji kukopa pesa mpaka 5m na zaidi atanikopesha bila riba wala asset. Hawa ni watu mnakutana afu mnakuwa zaidi ya nduguuuu. Hata anikereeee vipiii sigombani nae ngooooooo! Hata kitokeee nini hata akija kupost picha papa langu JF namsamehe on the spot tunaendelea na urafiki wetu. Heheheee.
Von Mo Kuna kipindi maisha yalinifilaaaaaa sanaaa mpaka damu heheheee, nikawa sina pesa ya dawa. Von nae nilikutana nae humu humu tu, akawa ananipa pesa ya dawa kila wiki mpaka nikamwambia basi nimesimama kiuchumi. Na si chini ya 200,000 kwa wiki. Nilipoteza namba yake, nimejaribu kumtafutaa sanaa sijampataga. The guy is inactive siku hizi. All i know ni mtoto mdogo like 1990s but loaded. Aliniambia lara tafuta busiess niku support enzi za kikwete lakini. Akasema nitakupa 10m fanya analysis unataka kufanya biashara gani. Sijui kulogwaaa sijui vipi sikutafutaga nikawa nakomaa kukaba hela za dawa kila wiki, i guess niliona he was blaffing. Aliniambia sanaa. Kila nikilala usiku naikumbuka hio 10m. Von kama ukisoma hapa SIJABADILISHA NAMBA KAKA (jAPO MDOGO WANGU PESA ULIO NAYO HESHIMA YA KAKA UNAISTAHILI) FANYA KAMA KUNI CHECK HIVI. MARA PAAAAAP SIMU YAKO HII HAPA NAZIRAI. Si kwa uchumi wa Magu.
Kuna wmingine wa humu humu JF nae yuko USA sahivi, nikienda lazima nimtafuteee. Nilimpendaga tuuu, mzuriii na kazi anaiwezaaa. Naweza kupiga rematch. Na pesa alinipa pia oooooooh natakaga mchezo mie. Sema alinihurumia tu, maana nilikuwa mgeni mgeni nikaanza kumpa mambo, naona akaamua kunipa kiufta jasho, hela ya mboga tu. Nikija kwa Trump nitakutafuta baba, tupige rematch. Malaya malayaaa nae, humu katembea na watu kibaoooooo. Nikisema nimtaje hapa tutatafutanaaa mbona. Ila mzuriiii kama watu wa kwenye movies na kazi anaiwezaa mwenyewe nilishindwa kumkatalia nitategemea vipi wenzangu ndo wawewe. hahahaaaaa. Mkisikia MBWA KALA MBWA NDO HIII.
Mbona mnakataa lakini?Aaah sidhani aisee
Bado una yale tu nimeshasahau mieMi umeniacha kwa kisa kile au
Ha haa Lara nyoko kweli weweShogaaa anguuu SIKOPESHI MIEEE! Sina kwanza historiaaa hio. Baada hi vepeeeeee. Nachukua cash cash kablaaaa! Mapemaaaa. Na hivi sina dhiki, huna kajambe mbeleeeee.
Niombe kwani ule msaada? Na ni dai kwani lile deni useme nilimkopesha namdai changu. Mi huwa na negotiate tu terms and conditions. Biashara huria ukishindwa kulia wanawake tuko wengi, nenda kakopeshwe au upewe bure utajua mwenyewe na balaa lako.