Lara l live interview on DJ sepetu show!!

@Lara1 Unaongea kama wanaume wameharibu saikolojia yako

mI NAONGEA UKWELI. kUMBUKA NIKO FRONT NA MLIPO NYIE KUKAA KUENDEKEZA WANAUME HUKU MAISHA YAKIWALA tIGO NISHAPITIAAA NA NAKUJUA VIZURI. Wanaume wameharibu saikolojia yenu kuona ukiwa na mwanaume umemalizaa hata kama nakupiga free pumbu. LOL!

Nashukuru Mungu huko nimetokaa sasa hivi naangali dunia kama ilivo. Dunia ni pesa na pesa ndo naitizama.
 
@Lara1 Unaongea kama wanaume wameharibu saikolojia yako

mI NAONGEA UKWELI. kUMBUKA NIKO FRONT NA MLIPO NYIE KUKAA KUENDEKEZA WANAUME HUKU MAISHA YAKIWALA tIGO NISHAPITIAAA NA NAKUJUA VIZURI. Wanaume wameharibu saikolojia yenu kuona ukiwa na mwanaume umemalizaa hata kama nakupiga free pumbu. LOL!

Nashukuru Mungu huko nimetokaa sasa hivi naangali dunia kama ilivo. Dunia ni pesa na pesa ndo naitizama.
 
Osokoni ulimpata?

Osokoni sikumpata bwanaaaa. Yaani nilikaribia kumpataa, akataka kunipiga free P nikapotezeaaaa. Mshenziii tu yule. Nikaja kupata stroy zake huyo demu wake alie achana nae hana lolooote, hamhudumii hata kidogoooo. anavaa ronya ronya za kariakooo za 10,000 za wakinga ndugu yangu na simple za kumwagwa chini. Kapaukaaa sio kidogooo. Ndo kisa cha kumuacha. Na mimi nikatoka ndukiiiiiiiiiii.
 
Sasa unapataje utamu wa ndizi bila kumenya ganda shost?

Huoni unajipunja utyamuu?

Aaaah wapi! Nishapiga kavu sema stress zake kubwaa. kupima pima ukimwi. Wanaume wenyewe kina Mkinga wa semitreall bank huko wana mlala kila mtu. Akigusaa tu anakubaliwaaa. Kwanza anatongozwa. Hoteli yake ya Makambako unaambiwa sio wahasibu, sio wahudumu wote wanamtaka na kumtongozaaa si wanajua pesa ipooo. Haya maradhi ndugu zangu nje njeeeee. Labda nije nimpate mtu muaminifu sijui kiasi gani ila sio hawa wa sahivi. Chapa ilaleee.

Acha kuporomosha poromosha mimba, umri wenyewe huu umeenda vizazi delicate sanaaa. Naendelea tu kutumia kinga.
 
one of the best interview ever
sio mimi sitaki hilo swal
mara hayo hayakuusu
kidogo me nisingependa kuongelea hayo
[HASHTAG]#nyoooooooooooooooooooooo[/HASHTAG]
big up lara 1
ila upande wa jinsia bado sijajiridhisha [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
 
Naona km anafurahisha jukwaa tu

Heheheeeee! IN THIS LIFE WE GET FEW CHANCES AND IF YOU DONT GRAB THOSE CHANCES BY THE BALLS YOU WILL END UP WONDERING HOW YOU BECAME SECOND RATED.

Sasa tuko wote JF, tofauti mi napewa MAMILLION KIUTANI UTANI na nyie mnajifanya HOLLIER THAN THE POPE HIMSELF mnapiga jarambaaa. Mkipata sanaa ni kukoswa koswa na FREE P. Heheheeeeeeeee! (Simaanishi wewe personally ila generally speaking)

WHY? Because i have more guts and balls to make shit happen. To make connections from IDs to personal connection. Naingia front kupambana. Kama pesa sina naomba mchana kweupeee na napewa. Hata mkisemaa lolote mi maisha yangu yanaenda mbele daima nyuma mwiko! Kama mwana yanga damu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti kuzaa mpembeleo!!!! Lara nyoko wewe!
 
Lara,naweza kuwa mfuasi wako no one na ninakukufuatilia kwa ukaribu story zako,ninahitaji kujua mume/mpz wako unahisi anahitaji nini zaidi kwako ili kudumisha mapenzi.

Mpenzi yoyote anahitaji

1. UMZIDI AKILI. Hili ndo la msingi sanaa tena nondo. Mkitoshana akili tu hapo ishakuwa issue. Ukimzidi akili unamfanyia kile anachoona yeye kinamfurahisha na anakihitaji. Hapa la kusistiza watu SIO SAWA. Hakuna general principles customization ya hali ya juu inahitajikaaa kumsoma mtu mpaka umuelewe na umfauluuu ndo mtaenda sawaaa. Mfano Mkinga anapenda mwanamke fighter, uende front, usikae buree. Uwe unapambana masaa 24 kama yeye ndo mtaenda sawa. Ukitaka kumla hela omba pesa za biashra anakumininia. Omba za gauni hata 20,000 hakupi ngooooo. Kwanza utamtibuaa kabisaaa. Nina bwana wangu yeye hapendi kabisaaa mwanamke uende front. Anataka ukae ndani akuhudumieee yeye, anachokupa pesa za kingese tu, elfu 50 kwa 70 na front usiende. Point is watu wanatofautiana.

2. KU SACRIFICE. (Hapa mimi nimepata 0 mwenzenu, nimefeli kabisaaa) Inahitajika kujitoaaa sanaa na kuacha umimi kuweka usisi. Umjali mwenzio na kumuweka kwenye maisha yako na mipango yako ya mbele. Kumpa support hata kama dunia nzima itakuona lafa tu, na ni upimbi unaofanya just do it. That is how you win peoples heart. Usiende kwa codes za mjini. Marufuku kumpa mwanaume pesa sijui nini utapotea kama sisi wa mjini tulivopoteaa. Hata wazazi wetu hapa ndo paliwabeba sanaa. Bwana akihamishiwa mkoani sacrifise kazi mfatee huko huko. Taishi kwa shida ila baadae mtatoboa. Kuna watu wamewapa mabasha zao mitaji na sahivi wako vizuriii, wana make progress, kitu ambacho binafsi ungese huo sifanyi, bora hio pesa nimpe maza wangu ataniachia radhi yake itanifaa huko mbele.


3.FORGIVENESS. (hAPA NAPO NIMEKULA MSWAKII MWINGINE FF) Love is not built in good deeds rather forgiving the unforgivable bila kudai fidia. Hapa twende sawa kama mimi kwa Mkinga nilikuwa compansated mara zote 2 alizozaa nje, tena sio kwa vitu vidogo once ndo hizo heka 10, second aliniongezea mtaji, sasa huu sio msamaha ni kulipana fidia. Msamaha ni kama ningemsamehe buree kabisaa na kukataa fidia ingeniongezeapoints sio kidogo. Heheheeee! Wanaume wote washezniii tofauti yako na wanawake wenzio wenzio wana samhehe madudu makubwa sanaa, wewe una standards za juu sana. Ndo maana wanawake wengine wazuriii sana, wana kila kitu na awaolewiii na wanatamani kuolewaaa. Hapa ndo wanapochezea mswakii. Mfano Mke wa Prince Williams, Kate Middleton, aliachwa karibia miaka sijui 6 ile, Prince anatembea na vitoto royal, vitoto vibichiii, vitamuuu hatari. Yeye alibakia single mda wote ingekuwa mimi ningefanya umalaya kuanzia Chelsea mpaka Manchester mpaka Totenham sio kwa gundu la kutoswa na Prince. Na Price alivorudi warudiane hakuleta standards za juu na vinyongo alimpokea fasta fasta cause that is what she wanted, that is who she loved. Eneo hili inabidi uwe falasi sanaaaa.

HIVO VI 3 TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…