Lara l live interview on DJ sepetu show!!

Ha haa niunganishe na mkinga namie nitest kama ysliyomo yamo[emoji85]
 

[emoji15]
 
Ha haa niunganishe na mkinga namie nitest kama ysliyomo yamo[emoji85]

Iga kunywa kwa Tembo uchanike msambaaa!

Huyo babay mama mmoja alinisumbua sanaa, mkinga mwenzie afu wanatoka kijiji kimoja. Alisema mkinga hawezi kuoa mchaga hata siku moja. Hehheee! Mbona yeye mkinga kazalishwa hajaolewa. Na sahivi juzi mwenzie nae kazaa, maana alijipa moyo mtoto ndo kila kitu nyokooooo!

Mimi minga nimejua mi niko 2nd yr yeye 2nd yr, mshambaaaa somaa somaaa hatari, hana hata 100. Aakawa ananiambia tukanunue mashamba ya miti naboom. Mi boom hilo vepeee nakula lotee na kuagiza pesa nyumbani na nilikuwa napata boom mara 2 jina langu lilikosewaga spelling yanatoka mawili.

Nikamaliza nikamuacha maana yeye Engineer miaka mi 4. Tukapotezana kumbe alinitafuta sanaa sanaaa. Nikaja kukutana nae posta akaniambia kashinda sijui funds gani za UN, anapewa mamillion na kwenda Thailand, twende Thailand wote. Nikaona my life was begining to happen. Ikaja kushindikana kwenda, home walikataaa.

Akarudi zile pesa alizulumiwa na wizara, zikaingizwa wizarani. Alikuwa Tanesco akaniambia anaacha kazi anaanzisha kampuni yake. Hali ikawa ngumuuuu sanaaa, sanaaa. Kuanzisha kampuni sio mchezooo. Nikamuacha tena, bado anasotaaa. Alisota like 3 years. Mpaka kodi ya nyumba ilimshinda kabisaaa. Nikamkopeshaa mimi. Baadae mimi nikaanza kufanya nae kazi, ndo mambo yakafunguka sasa. Akapata project moja babu kubwa sanaaa ndo ilio mtoa kimaisha. Mi sikuhusika na kuipata kwake. Alipiga kama miliion 900 ni project ya serikali. Waliotupa ile kazi washatumbuliwa na Magu maskini. The rest is History.

Kikwete kawatoa watu wengi sanaaa. Nitawasema watu wengi sanaaa ila sio Rizwani na baba yake, wamemuweka Mkinga kwenye ramani na mimi pia. Tunashukuru Mungu.

POINT IS TUMETOKA MBALI SANAAAA MIMI NA YEYE, NDO MAANA HATA NIKIOMBA PESA NAPEWA, NAKUHAKIKISHIA WENGINE HAWAPATI KITU SIO KWA MKINGA YULEEEE. WAKINGA WASIKIE TU, BAHILIIII MPAKA KWA NAFSI YAKE ANAJIBAHILIA ITAKUWA MTU.
 
Kumbe.
Ngoja nikatafsiri mavyeti yangu ya Russia. BA na MA.

Niachane na kutapeli watu hapa mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…