Lara l live interview on DJ sepetu show!!

Lara l live interview on DJ sepetu show!!

Aaaah wapi! Nishapiga kavu sema stress zake kubwaa. kupima pima ukimwi. Wanaume wenyewe kina Mkinga wa semitreall bank huko wana mlala kila mtu. Akigusaa tu anakubaliwaaa. Kwanza anatongozwa. Hoteli yake ya Makambako unaambiwa sio wahasibu, sio wahudumu wote wanamtaka na kumtongozaaa si wanajua pesa ipooo. Haya maradhi ndugu zangu nje njeeeee. Labda nije nimpate mtu muaminifu sijui kiasi gani ila sio hawa wa sahivi. Chapa ilaleee.

Acha kuporomosha poromosha mimba, umri wenyewe huu umeenda vizazi delicate sanaaa. Naendelea tu kutumia kinga.
Ha haa niunganishe na mkinga namie nitest kama ysliyomo yamo[emoji85]
 
Shogaaa anguuu SIKOPESHI MIEEE! Sina kwanza historiaaa hio. Baada hi vepeeeeee. Nachukua cash cash kablaaaa! Mapemaaaa. Na hivi sina dhiki, huna kajambe mbeleeeee.

Niombe kwani ule msaada? Na ni dai kwani lile deni useme nilimkopesha namdai changu. Mi huwa na negotiate tu terms and conditions. Biashara huria ukishindwa kulia wanawake tuko wengi, nenda kakopeshwe au upewe bure utajua mwenyewe na balaa lako.
8942c94a7f9859aa385ba3224a2b0593.jpg

[emoji15]
 
Ha haa niunganishe na mkinga namie nitest kama ysliyomo yamo[emoji85]

Iga kunywa kwa Tembo uchanike msambaaa!

Huyo babay mama mmoja alinisumbua sanaa, mkinga mwenzie afu wanatoka kijiji kimoja. Alisema mkinga hawezi kuoa mchaga hata siku moja. Hehheee! Mbona yeye mkinga kazalishwa hajaolewa. Na sahivi juzi mwenzie nae kazaa, maana alijipa moyo mtoto ndo kila kitu nyokooooo!

Mimi minga nimejua mi niko 2nd yr yeye 2nd yr, mshambaaaa somaa somaaa hatari, hana hata 100. Aakawa ananiambia tukanunue mashamba ya miti naboom. Mi boom hilo vepeee nakula lotee na kuagiza pesa nyumbani na nilikuwa napata boom mara 2 jina langu lilikosewaga spelling yanatoka mawili.

Nikamaliza nikamuacha maana yeye Engineer miaka mi 4. Tukapotezana kumbe alinitafuta sanaa sanaaa. Nikaja kukutana nae posta akaniambia kashinda sijui funds gani za UN, anapewa mamillion na kwenda Thailand, twende Thailand wote. Nikaona my life was begining to happen. Ikaja kushindikana kwenda, home walikataaa.

Akarudi zile pesa alizulumiwa na wizara, zikaingizwa wizarani. Alikuwa Tanesco akaniambia anaacha kazi anaanzisha kampuni yake. Hali ikawa ngumuuuu sanaaa, sanaaa. Kuanzisha kampuni sio mchezooo. Nikamuacha tena, bado anasotaaa. Alisota like 3 years. Mpaka kodi ya nyumba ilimshinda kabisaaa. Nikamkopeshaa mimi. Baadae mimi nikaanza kufanya nae kazi, ndo mambo yakafunguka sasa. Akapata project moja babu kubwa sanaaa ndo ilio mtoa kimaisha. Mi sikuhusika na kuipata kwake. Alipiga kama miliion 900 ni project ya serikali. Waliotupa ile kazi washatumbuliwa na Magu maskini. The rest is History.

Kikwete kawatoa watu wengi sanaaa. Nitawasema watu wengi sanaaa ila sio Rizwani na baba yake, wamemuweka Mkinga kwenye ramani na mimi pia. Tunashukuru Mungu.

POINT IS TUMETOKA MBALI SANAAAA MIMI NA YEYE, NDO MAANA HATA NIKIOMBA PESA NAPEWA, NAKUHAKIKISHIA WENGINE HAWAPATI KITU SIO KWA MKINGA YULEEEE. WAKINGA WASIKIE TU, BAHILIIII MPAKA KWA NAFSI YAKE ANAJIBAHILIA ITAKUWA MTU.
 
Kazi mimi Marshallah nimepata pataaaa, nishafanya kazi kama 5 sijui 6 na inaishia kuachaaa sababu maisha ya kupeana laki 8 sio kabisaaa. Mimi na mipango mikubwaaa , na ni mtu wa matumizi makubwaaa.

Baada ya kumaliza chuo nashukuru Mungu kwa kweli sababu mimi sikwenda chuo kutimiza wajibu au kupata vyeti NIME ELIMIKA, na nashukuru nimefanya masters ya INTERNATIONA BUSINESS, CPA, BCOM corporate finance, zinanisadiaaa sanaaa sanaa kwenye kuuza ronyaaa. Hizi global market nazila viboga mchana kweupeee. Na apply education yangu. Katika marketing na jinsi navoendesha busniess yangu.

Pia ni consaltant so i am still making good money from Academic world. Kwa jinsi nilivo mtoto wa mjini maisha kunila Tako bado sanaaaaaa.

Soko linabagua KI MAKU MAKU vyuoooo. Tena sahii hata UDSM yenyewe haifui dafu. WANATAKA GRADUATES WA UK, USA, INDIA, CHINA, RUSSIA. Hivo yaani. Wanataka global degrees. Wakimtangazia dau mjinga aliesoma huko wanaropoka gross 7m, nenda wewe na degree yako ya Tumaini Iringa wanakula kiboga cha laki 8 gross tena bank kubwa kama CRDB mamaeeeeeeee. Aaaaaaaaaahhhh! Bora niuze ronyaaa kwa nguvu mwanangu afe kipa afe beki lazimaaaaa UK imuhusuuu collage.
Kumbe.
Ngoja nikatafsiri mavyeti yangu ya Russia. BA na MA.

Niachane na kutapeli watu hapa mjini
 
Back
Top Bottom