Lara l live interview on DJ sepetu show!!

hiyo ndo salamu ya kwetu ukingani.

Msalimiaji: Mapembelooo
Muitikiaji: Mapembelo Wawene

Karibuni ukingani mama, Pesa ilipo.
Ndio maana ulijiita hivyo kumbe!! Vipi nawe kafupiiii!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Hebu nitafutie wakinga kama watatu hivu bwana, ila wasiwe bahiri.
 
Ndio maana ulijiita hivyo kumbe!! Vipi nawe kafupiiii!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Hebu nitafutie wakinga kama watatu hivu bwana, ila wasiwe bahiri.
hahahahaha mi ndo mkinga mrefu kuliko woteeee..., 172 centimeters. ni imani yangu hichi kimo kinamtoshaaaa bintiyoo.

pesa siyo ya kuuliza ila utokaji wake ndo palipo na kibarua. [emoji12] [emoji12]
 
hahahahaha mi ndo mkinga mrefu kuliko woteeee..., 172 centimeters. ni imani yangu hichi kimo kinamtoshaaaa bintiyoo.

pesa siyo ya kuuliza ila utokaji wake ndo palipo na kibarua. [emoji12] [emoji12]
Kama haitoki basi siwataki.
 
ahahaha ndo salam yao wakinga ! its like habari yako !

mapembelo vavene uwiii walivyo wafupi sasa mhhh ukikutana nao warefu hao direct makumbusho ya taifa aisee ila mapene yapo hatar
Umetuchamba sana japo hatupo kihivyo....
 
Doh kwa umbali huo mliotoka basi nimeghairi ha haa

Ila Lara we nyoko sana mchaga wewe
 
Mwanamke mwenye domo kabilahii unawezaje kum-"seduce" na mka-"make love" kwa mfano! Anatofauti gani na wanaojiuza Sinza? Halafu namba hii kamwe haoleki.
Bila kujali mahitajio ama gharama ya pesa atakayo mwanamke, wanaume tunapenda sana wenye kauli za staha na viwango kama za Miss Natafuta.
Kauli tu mtu inakunyegeresha hadi unatuma pesa, haijalishi hata kama sura haujiui.
Mwanamke yeyote mwenye lugha laini hufanikiwa sana maishani, bila kujali ulaini wa kauli zake hizo zikawa za hila na kitapeli, kwa wanaume haijalishi.
Kumbe humu jf tuna vyangudoa wa kumwaga! Arrrrrhgh nnndhza!
 
sasa huoni kwa tabia hii unajikosesha life mate partner? maana hata kama mwanaume ni tajiri sidhani kama atapenda kukufanya mama watoto wake mwanamke unaeuza papuchi .
au umeshaolewa tayari?@l
Tandika maswali ya kushiba mwanangu.
Lakini sidhani kama anaweza kuyajibu maswali yote yaliyokaa kimaadiliadili.
 
"I COULD HAVE DONE BETTER"
[HASHTAG]#SMH[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…