KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
I rest my case! Coouurt!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana ulijiita hivyo kumbe!! Vipi nawe kafupiiii!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]hiyo ndo salamu ya kwetu ukingani.
Msalimiaji: Mapembelooo
Muitikiaji: Mapembelo Wawene
Karibuni ukingani mama, Pesa ilipo.
hahahahaha mi ndo mkinga mrefu kuliko woteeee..., 172 centimeters. ni imani yangu hichi kimo kinamtoshaaaa bintiyoo.Ndio maana ulijiita hivyo kumbe!! Vipi nawe kafupiiii!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hebu nitafutie wakinga kama watatu hivu bwana, ila wasiwe bahiri.
Kama haitoki basi siwataki.hahahahaha mi ndo mkinga mrefu kuliko woteeee..., 172 centimeters. ni imani yangu hichi kimo kinamtoshaaaa bintiyoo.
pesa siyo ya kuuliza ila utokaji wake ndo palipo na kibarua. [emoji12] [emoji12]
Umetuchamba sana japo hatupo kihivyo....ahahaha ndo salam yao wakinga ! its like habari yako !
mapembelo vavene uwiii walivyo wafupi sasa mhhh ukikutana nao warefu hao direct makumbusho ya taifa aisee ila mapene yapo hatar
Nionje utamu wakeUnamtaka wa nini?
Doh kwa umbali huo mliotoka basi nimeghairi ha haaIga kunywa kwa Tembo uchanike msambaaa!
Huyo babay mama mmoja alinisumbua sanaa, mkinga mwenzie afu wanatoka kijiji kimoja. Alisema mkinga hawezi kuoa mchaga hata siku moja. Hehheee! Mbona yeye mkinga kazalishwa hajaolewa. Na sahivi juzi mwenzie nae kazaa, maana alijipa moyo mtoto ndo kila kitu nyokooooo!
Mimi minga nimejua mi niko 2nd yr yeye 2nd yr, mshambaaaa somaa somaaa hatari, hana hata 100. Aakawa ananiambia tukanunue mashamba ya miti naboom. Mi boom hilo vepeee nakula lotee na kuagiza pesa nyumbani na nilikuwa napata boom mara 2 jina langu lilikosewaga spelling yanatoka mawili.
Nikamaliza nikamuacha maana yeye Engineer miaka mi 4. Tukapotezana kumbe alinitafuta sanaa sanaaa. Nikaja kukutana nae posta akaniambia kashinda sijui funds gani za UN, anapewa mamillion na kwenda Thailand, twende Thailand wote. Nikaona my life was begining to happen. Ikaja kushindikana kwenda, home walikataaa.
Akarudi zile pesa alizulumiwa na wizara, zikaingizwa wizarani. Alikuwa Tanesco akaniambia anaacha kazi anaanzisha kampuni yake. Hali ikawa ngumuuuu sanaaa, sanaaa. Kuanzisha kampuni sio mchezooo. Nikamuacha tena, bado anasotaaa. Alisota like 3 years. Mpaka kodi ya nyumba ilimshinda kabisaaa. Nikamkopeshaa mimi. Baadae mimi nikaanza kufanya nae kazi, ndo mambo yakafunguka sasa. Akapata project moja babu kubwa sanaaa ndo ilio mtoa kimaisha. Mi sikuhusika na kuipata kwake. Alipiga kama miliion 900 ni project ya serikali. Waliotupa ile kazi washatumbuliwa na Magu maskini. The rest is History.
Kikwete kawatoa watu wengi sanaaa. Nitawasema watu wengi sanaaa ila sio Rizwani na baba yake, wamemuweka Mkinga kwenye ramani na mimi pia. Tunashukuru Mungu.
POINT IS TUMETOKA MBALI SANAAAA MIMI NA YEYE, NDO MAANA HATA NIKIOMBA PESA NAPEWA, NAKUHAKIKISHIA WENGINE HAWAPATI KITU SIO KWA MKINGA YULEEEE. WAKINGA WASIKIE TU, BAHILIIII MPAKA KWA NAFSI YAKE ANAJIBAHILIA ITAKUWA MTU.
Mambo linamoMmmmh
Umeamia hukuCcespy
Heaven Sent
Mkuje huku leo zamu ya KLM
kuna namna..., iko namna ya kuitoa [emoji23][emoji23]. mchek KLM kwa mbinu kabla sijarusha contactsKama haitoki basi siwataki.
Sitaki mbinu bwana, hizo za kuhenyea sitaki.kuna namna..., iko namna ya kuitoa [emoji23][emoji23]. mchek KLM kwa mbinu kabla sijarusha contacts
Mwanamke mwenye domo kabilahii unawezaje kum-"seduce" na mka-"make love" kwa mfano! Anatofauti gani na wanaojiuza Sinza? Halafu namba hii kamwe haoleki.Shogaaa anguuu SIKOPESHI MIEEE! Sina kwanza historiaaa hio. Baada hi vepeeeeee. Nachukua cash cash kablaaaa! Mapemaaaa. Na hivi sina dhiki, huna kajambe mbeleeeee.
Niombe kwani ule msaada? Na ni dai kwani lile deni useme nilimkopesha namdai changu. Mi huwa na negotiate tu terms and conditions. Biashara huria ukishindwa kulia wanawake tuko wengi, nenda kakopeshwe au upewe bure utajua mwenyewe na balaa lako.
Tandika maswali ya kushiba mwanangu.sasa huoni kwa tabia hii unajikosesha life mate partner? maana hata kama mwanaume ni tajiri sidhani kama atapenda kukufanya mama watoto wake mwanamke unaeuza papuchi .
au umeshaolewa tayari?@l
Teh teh teh.ulianza kupigwa dudu mapema sana hata form four ulikuwa bado? so far hadi leo ushasex na wanaume wangapi? na je huwa unasex mara ngapi kwa week? na huwa unasex na nani ?
Siyo siri mkuu huwa unaniudh kwa tabia yako ya kuingilia interviews
"I COULD HAVE DONE BETTER"TRUE LOVE IKO ILA IS VERY VERY ETREMELY TRICKY INATAKA SACRIFISES NYINGI SANAAA, NA KUJIFANYA MJINGAAA SANAAA, TAKING LOADS AND LOADS OF SHIT KIUKWELI INATAKA TRUE AND NOTHING BY THE TRUTH LOVE. Daaaaaaah! Kwangu najiapizaga siku 2 nyingi nashindwaaaaa.
Kama ningkuwa mtu wa True Love basi ningekubali Mkinga tuoane (Sio anioe, hapanaaaaa kabisaaa) Ila wapiiiiii!!!!!!!!! Sifadhilikiiii, sina shukraniiii. Watu wakisema Mkinga mbayaaa mfupi, ataniharibia watoto wanaume wenye pesa kibaooo kisa cha kuzaa vi mapembeleooo na mimi nimo kwenye kuunga mkono hoja. Hahahaaa! Mama anasemaga mwisho wako utakuwa mbaya sanaaaa. Hahahahaaaaa! Kama umeshindwa kumthamini huyu kaka wa watu baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaassssss. Heheheeeeee
Mi mtu wa FACT NA LOGICS, Philosphy yangu In this world i walk alone. kwanza duaniani kuna watu billion ngapi sijui. Cha kukomaa na mmoja kisaaa? Kama nilimpata mkinga nitapata zaidi yake vile vile.
Wanaume nakutana nao, wananipagawishaaaa sanaa kabla sijawajuaaaa. Nikiwajua sasa pale true love inapohitajika ndo nakuwa sipatikani hewani netwrok hamnaaaa, hamnaaaa.
Mifano michache, kuna bwana nilikuwa nae kuna kipindi na mkinga alivozaa na mttu wa kwanza nikambwagana nae kabisaa kabisaa. Sasa huyu kaka alikuwa mzuriii hatari, msomiii mwenzanguuu, nduguuu sema ndo FRE P hatariii. Akawa anaiambia nimchukulie million 5 kwa maza wangu afanye biashara, hizo pesa zangu nilimkopesha maza. Nikakubali mwanzo cause alikuwa na mawazo viable. Na msione namuita free p mkajua useless aliniuguzaa sanaa, niliumwa hapo kati. Nilivoenda kwa maza alinitukana matusi ya nguoniii mpaka akili ikanikaa sawa. Baadae nilikuja kujua pamoja na logic ya maza, bi mkubwa hakuwa na nia ya kulipa ile hela hata nukta sasa kumdai nikahonge ndo ikamtibua zaidiii. Bora nimsamehe yeye mzazi wangu.
Niakkaa kaa nae kama miaka mi 3, nothing was happening, hapati pesa, ana kazi yake hio hio ya laki 5 nikaona natupa maishaaa hivi hivi. Alicheat na akaomba msamaha something i could have overlooked hakuna serial cheater kama mkinga namsaehe kutokana na njaa zangu ila yule nilimshiki kidedea sio cha nchi hii, nilikuwa namtaftia sababu.
Aliniomba turudiane, nikawa nazungushaaaaa. Akaja kupata kazi bandariii, weeee sio ya kitoto. Nikakubali turudiane sasa akawa ahajasamehe basi kila mda ananikumbusha nilivomla Tigo wakati hana hela. Akacheat tenaaa. Aaaaaah! Afu sahivi si ana pesa hakuomba msamaha wala nini. Akawa anataka automatic forgivenss kama za Mkinga. Kmaninaaaa nika achaa nae.
Akaanza kutaka kunirusha rohooo. Nikarudiana na mkinga. Mpaka alihama mji yuko bandari ya Tanga. Heheheheeeeee! Alitaka kiki nikampa za pikipiki. Sio nili mu exterminate nilimu assasinate kabisaaa.
Sema if i think of it nikiwa nimetuliza akili, na nyege na kila kituuu I COULD HAVE DONE BETTER. He treated me well, basi tu, sina TRUE LOVE.
Na yule punda niliwapa story yake mwaka huu huu nampenda sanaaa, kadakwa hongkong, kapigwa miaka mi 5 jela. Nishaenda China mara 2, kwenda gereza alilofungwa ni $$$200 tu, ila sijaenda na wala mpango wa kwenda sinaaa. Nitakuja kujuta miaka mi 5 baadae akitoka maana wafungwa wa hongkong wana ajiriwa kabisaaa wanalipwa juzi kuna mwanae alikuwa ananiambia atatoka na pesa ndefu sanaaaa.
GET RICH OR DIE TRYING
MOTP anayefagiliwa huyu ni nani?[emoji122][emoji122]
Ila MOTP kaokoka like seriously??hallelujah
Ccespy
Heaven Sent
Lara anamajibu mazuri sanaMOTP anayefagiliwa huyu ni nani?
Mimi shemela wako?I love you mange.
Natamani nifanyiwe interview na wasichana watatu.
Miss natafuta na miss chagga na yoyote mwingne