carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Lara umeolewa?na kama umeolewa unawatoto wangapi?Mi mgeni sikujua! Basi tuendelee siwajibu tena.
Unajishughulisha na nini kujiingizia kipato?
Na kwanini hupendi free p
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lara umeolewa?na kama umeolewa unawatoto wangapi?Mi mgeni sikujua! Basi tuendelee siwajibu tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] KLM kwenye ubora wakoShogaaa anguuu SIKOPESHI MIEEE! Sina kwanza historiaaa hio. Baada hi vepeeeeee. Nachukua cash cash kablaaaa! Mapemaaaa. Na hivi sina dhiki, huna kajambe mbeleeeee.
Niombe kwani ule msaada? Na ni dai kwani lile deni useme nilimkopesha namdai changu. Mi huwa na negotiate tu terms and conditions. Biashara huria ukishindwa kulia wanawake tuko wengi, nenda kakopeshwe au upewe bure utajua mwenyewe na balaa lako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]So mbona sielewi host, acha kususa. Mi mgeni nimekuta wenyeji wana fujo sikuelewa. We uliza maswali bwanaaa, Siwajibu nakujibu wewe tu.
Amewahi tembelea nchi ngapi?
mara yake ya kwanza kwenda club alijisikiaje?
anapenda kutumia perfume/spray gani?
Amewahi kudate na mzungu?
kwake yeye mwana ume asiye na uwezo kifedha anamchukukiaje ktk mahusiano?
Anatamani kwenda nchi gani kiutalii ambayo hajawahi kwenda?
Kinywaji gani anapendelea?
yafikishe kama yalivyo
safi sana.Mimba napataje kwa mfanooooo, maana mi sicheziii kavuuu hata siku moja. Simuamini mwanaume hata kwa kumtaniaaaa
Naanzaje kukawiaushafika mara hii.., kwa kunusaa
unazungumziaje forex trading?
I got a gut feeling you're Mange Kimambi, Lara 1
asante kwa jibu poa ila nazungumzia hii ya online tradingForex trading nayoijua mimi hii ya stock exchange ni nzuriii sanaa kama unaweza kufanya cross exchange rates. Hususani kwa sisi wauza ronya watu wanatoboa sanaaaa. Manake unaweza kukuta Shilingi kwa $$$ iko vibayaaa vibayaaaa, inakufila mchana kweupeee bila KY wala mateee. Ila shilingi kwa Euro iko byeeee au kwa Pound iko kidogo kuna ka KY Jelly. Kwa hio unacheki hapa mjini, unacheki na rate za Ghuanzhou zinasema kwenye $$$$ na Eurooo.
Ukiwa makini you can make a killing. Wakinga wakijinyoso kununu $$$$ kwa mazoea wakifika China rate ina wafila wima wimaaaa, we unanunua Euro, ukifika kule either kitongaaa hukatiii pesaaa yako, au unaweza hata pata faida ya kwa kimillion kama mtaji wako mkubwa na unabadilisha nyingi ikakusaidia hoteli kulipa.
nDO MAPA SASA UWE HUJAKIMBIA UMANDE
tundelee ! najua ushasex na wanaume wengi kiaina.je kuna ambae aliweza kuacha historia ya kitu flani kwako? like utamu zaidi au maumivu zaidi?????????? au mapene zaidi au alikukopa??????ilikuwaje na alikuwa mtu wa aina gani?Usitake nifatwe na watu wasiojulikanaaa bureee. Mi sio Mange japo ni mfuasi wa Mange namba moja humu JF na hilo liko wazi kitambooo
Woyooooooo!!!Ccespy
Heaven Sent
Mkuje huku leo zamu ya KLM
Kuna kipindi ulituaga maadui wa free p, ilikuwaje ukarudi dimbani mama?Short history yangu ni kwamba napenda pesa, napenda mambo makubwa, sijibaniiii, napenda raha. Adui namba moja wa Free Pumbu. Sina mengi sanaaaa kama unga wa ngano. Ni hayo tu
Kutumia papuchi kutengeneza hela ndo kumtumikia Mungu??![emoji32][emoji32][emoji32]