Lara l live interview on DJ sepetu show!!

Lara l live interview on DJ sepetu show!!

Shogaaa anguuu SIKOPESHI MIEEE! Sina kwanza historiaaa hio. Baada hi vepeeeeee. Nachukua cash cash kablaaaa! Mapemaaaa. Na hivi sina dhiki, huna kajambe mbeleeeee.

Niombe kwani ule msaada? Na ni dai kwani lile deni useme nilimkopesha namdai changu. Mi huwa na negotiate tu terms and conditions. Biashara huria ukishindwa kulia wanawake tuko wengi, nenda kakopeshwe au upewe bure utajua mwenyewe na balaa lako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] KLM kwenye ubora wako
 
So mbona sielewi host, acha kususa. Mi mgeni nimekuta wenyeji wana fujo sikuelewa. We uliza maswali bwanaaa, Siwajibu nakujibu wewe tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amewahi tembelea nchi ngapi?
mara yake ya kwanza kwenda club alijisikiaje?
anapenda kutumia perfume/spray gani?
Amewahi kudate na mzungu?
kwake yeye mwana ume asiye na uwezo kifedha anamchukukiaje ktk mahusiano?
Anatamani kwenda nchi gani kiutalii ambayo hajawahi kwenda?
Kinywaji gani anapendelea?

yafikishe kama yalivyo

Mimi CHAMA KUBWA. Sio kwamba najisifiaaaa, hataaaaa! Nimeenda China ndo kama second home, India, UAE, Oman, Ethiopia, Quatar, Thailand, Malasia, Russia na UK. Inshaalah mwakani natimba kwa Trump.

Mara ya kwanza kwenda club ni form 3, tena ilikuwa Billcanas na mashosti wangu

Napenda kutumia perfume ya Jadore au Channel NO 5. Spray natumiaga Vanilla ya buku 3 tu sina gharama wala nini.

Wazungu wa baridi afu hawatahiriw so sinaga mzuka nao.

Mwanaume pumbu mimi hapanaaaaaa. Kugawana umasikini nawaachia wenzangu. nAKABA MPAKA jf NIMEPATA WANAUME WENYE PESA.

Naitamani Marekani babaaa, MAREKANI.

Kinywaji nachopendelea Redds tu ya 2500 mpaka 200 uswahili kwetu kitongaaa
 
unazungumziaje forex trading?

Forex trading nayoijua mimi hii ya stock exchange ni nzuriii sanaa kama unaweza kufanya cross exchange rates. Hususani kwa sisi wauza ronya watu wanatoboa sanaaaa. Manake unaweza kukuta Shilingi kwa $$$ iko vibayaaa vibayaaaa, inakufila mchana kweupeee bila KY wala mateee. Ila shilingi kwa Euro iko byeeee au kwa Pound iko kidogo kuna ka KY Jelly. Kwa hio unacheki hapa mjini, unacheki na rate za Ghuanzhou zinasema kwenye $$$$ na Eurooo.

Ukiwa makini you can make a killing. Wakinga wakijinyoso kununu $$$$ kwa mazoea wakifika China rate ina wafila wima wimaaaa, we unanunua Euro, ukifika kule either kitongaaa hukatiii pesaaa yako, au unaweza hata pata faida ya kwa kimillion kama mtaji wako mkubwa na unabadilisha nyingi ikakusaidia hoteli kulipa.

nDO MAPA SASA UWE HUJAKIMBIA UMANDE
 
asante kwa jibu poa ila nazungumzia hii ya online trading
 
d1dece73c83218c71703cbd076952046.gif
 
Usitake nifatwe na watu wasiojulikanaaa bureee. Mi sio Mange japo ni mfuasi wa Mange namba moja humu JF na hilo liko wazi kitambooo
tundelee ! najua ushasex na wanaume wengi kiaina.je kuna ambae aliweza kuacha historia ya kitu flani kwako? like utamu zaidi au maumivu zaidi?????????? au mapene zaidi au alikukopa??????ilikuwaje na alikuwa mtu wa aina gani?
 
Elimu yako ni ipi mpaka sasa na Je Chuo na GPA kubwa vinaweza kuamua ubora wa maisha ya mtu?

Pia ulipotea sana Jf je uliamua au sababu binafsi ila kama hutojali waweza sema.
 
Je na maza ako anafanya mapenzi kibiashara kwa mdingi wako!
Je kwa kufanya uko biashara una Mali kiasi gn!
Huwa unatuma hela za matumizi kwa wazazi wako! Na wanajua unazipataje?
Ndugu yko akiwa na mahela, utampa papuchi?
 
Back
Top Bottom