Lara umeolewa?na kama umeolewa unawatoto wangapi?
Unajishughulisha na nini kujiingizia kipato?
Na kwanini hupendi free p
Sijaolewaaa ila na bwana wa mdaa mrefuuu sijui kama kaniloga au vipiii, kila nikitafuta bwana nimmwageee napata kimeooo. Na hivi mkinga nina mashaka makubwaaaa. Ila natafuta Mume sasa na awe anajiwezaaa hilo namba mojaaa. Maana huyu mkinga kanishinda tabia njaa zangu tu zinaniwekaaa nae kuvumilia upuuzi.
Watoto sinaa, sijaona wa kumzalia maana huyu mkinga sio sio. Na nikizaa na Free P nitachujaaa na kupauka maana mkinga atanitelekezaaa. Labda ningemzalia MOTP maana nampenda hatariiiii and he is the best daddy ever, afu mitoto yake mizuriii mizuriii anajua kuhudumiaa, sema nae ndo kaokoka sahivi, sijui mkewe kaongeza midawa ya kumrogaaa sanaa, kamu over doseee, kagomea offer yangu kabisaaa.
Sipendi wanaume Free P sababu nitawadanganya. Mimi kichwa changu sio kizuriii kabisaa. Kama hapa sijala jioni pesa sinaaa, ila nina guts na confidence za kuongelea kwenda kwa Trump mwakani, sio chini million 6. Na nitapa na nitaendaaa. Sasa kama ningekuwa na bwana Free P hii jeuriii na kibri ningevitoa wapi vya kuzungumza mbele za umati huuu tena kwa kujiamini kabisaaa. NAPENDA MAMBO MAKUBWAAAAAA SANAAA. Mpaka mama anasema msipoliwa viboga nyie watoto sijuiiiiii, sio kwa maisha hayoooo. Nani memuona labda anasafiri safiri huko nje katikao ukoo kama sio kutafuta balaaaa. Hahahaaaaaaa! Shauri yenu jitieni kuiga kunya kwa tembo dunia iwapasue msamba.
Nishakaa na mabwana hawana kitu ila naona kama natupa maishaaaa. Seriously. Nitamkera huyo bwanaaa kwanza. Maana Mkinga nimedumu nae maana boss wa bank, ana transportation company yenye hizo fuso, analima miti hela na heka kanihonga vi heka 10 tukigombana hata robo ana ninyanganyaaa heheheeee. Ana lima mchele, ufuta, mataka taka kibaooo na ku export nje. Ana kampuni za IT kama 3. Ni hustler sanaaaaaaaa. THESE ARE THE KIND OF MEN I LOVE. THEY CHALLANGE ME TO DARE THE DEVIL, DREAM BIG, SEE THE BIGGER PICTURE, AND BECOME THE BEST I CAN BECOME,
AND THESE MEN ARE EXTREMLY FEW. So nikikaa na mwanaume hana akili anaenda kupokea laki 8 na kuja kukupiga mikasi for a livingi najiona ni mngese wa mwisho duniani i can do better and i should do better. Minga kama laana kwangu. Maana kila bwanaaa kasoro MOTP ambae ni mme wa watu sio mtu wengine ovyo ovyo tu, they offer small life ya kwafulia mi boxer yao for a living. Come on.
bORA UWE HAJAWAHI KUIONJA BIG LIFE, KULIKO KAMA MIMINISHAJUA UTAMU WA KUPANDA NDEGE NA $$$$$ AFU UKANIFUNGIE MADALE NIPANDE HAICE TEGETA KARIAKOO FOR A LIVING STRESS ZITANIMALIZAAA