Largest Construction Company To erect Africa’s Tallest Building in Nairobi

Largest Construction Company To erect Africa’s Tallest Building in Nairobi

Tallest building in Africa.. baada ya siku mbili unasikia Misri na wao wanajenga tallest in Africa baada ya mwezi South Africa wanajenga tallest in Africa. In short hii race ya kuwa na tallest building huwa ni ya kitoto maana kila siku wana announce majengo mapya..

Hilo tallest in the world muda si mrefu litapitwa..

Tujiulize je yana tija kwa mkulima wa kahawa na mahindi.. je yanasaidia maskini wa mijini kupata makazi bora?? Tujiulize....
Ukiangalia hapo Ni towers mbili, hio moja fupi ya gorofa 40 itakua Ni 5 star hotel... Kila siku watahitaji Mayayi elfu jadhaa, maziwa fresh lita elfu kadhaa, kuku Mia kadhaa, Samaki fresh kutoka Bahraini, Nyama ya komodoo mbuzi, ngombe, sungura.., Majani ya grade A ya chai, Mikate, mboga , vitunguu,tomato kwa wingi, spices Kama mdalasini...nk..... Itakua Ni biashara kubwa Sana kulisha hoteli ya orofa 40 hata kwa siku moja Tu.

Huku Kenya wakulima na wafugaji wenye mazao madogo kama vile maziwa huungana Na kuchanganya mazao Yao alafu wanauza kwa pamoja kwa kampuni au hoteli kubwa kubwa kwahivyo sio lazima hoteli iende kutafuta mkulima mmoja mmoja hadi ijaze order
 
Ukiangalia hapo Ni towers mbili, hio moja fupi ya gorofa 40 itakua Ni 5 star hotel... Kila siku watahitaji Mayayi elfu jadhaa, maziwa fresh lita elfu kadhaa, kuku Mia kadhaa, Samaki fresh kutoka Bahraini, Nyama ya komodoo mbuzi, ngombe, sungura.., Majani ya grade A ya chai, Mikate, mboga , vitunguu,tomato kwa wingi, spices Kama mdalasini...nk..... Itakua Ni biashara kubwa Sana kulisha hoteli ya orofa 40 hata kwa siku moja Tu.

Huku Kenya wakulima na wafugaji wenye wazao madogo kamala vile maziwa huungana Na kuchanganya mazao Yao alafu wanauza kwa pamoja kwa kampuni au hoteli kubwa kubwa kwahivyo sio lazima hoteli iende kutafuta mkulima mmoja mmoja hadi ijaze order
Kila mtu anajua buying local is cheap.. hata hapa Tanzania wanafanya hivyohivyo, sio jambo jipya.

Lakini nachelea kuona ushabiki wa kijinga kwenye nani anajenga jengo refu kuliko mwenzie.. by the time hilo jengo lipo nusu probably South Africa watakuwa na wao wame announce jengo refu kuliko hilo..

Sasa kama competitive edge ya hilo jengo ni kuwa refu kuliko yote basi inakuwa imepotea.. inaishia kuwa jengo refu la kawaida tu na sio refu Africa..

Ndo maana nikasema kama hayo majengo hayasaidii kuondoa adha ya makazi kwa watu masikini wa mijini hamna chochote kipya..
 
Mkuu unaconnect vitu viwili ambavyo havihusiani..... Jengo refu zaidi ni sifa tu... Hata ukienda international forums utaona newyork , Dubai, Hong kong, seol zinashindana kwa majengo marefu zaidi duniani.......

Hata nyinyi hapo Tz mlipojenga TPF mlijisifia kua litakua jumba refu zaidi hapa EA, halikumaliza hata mwaka mmoja, jumba la UAP hapa kenya ilichukua hio nafasi...... ni jambo la kawaida kusifia jengo kama ni refu zaidi... hata shuleni mwanafunzi hupewa sifa kwamba yeye ndo aliibuka namba moja kwa mtihani na hupata sifa lakini haichukui mda mrefu kabla mwanafunzi mwengine atachukuahio nafasi na sifa humwendea yeye hadi atakapo shindwa na mwanafunzi mwengine ...

Tukirudi kwa hilo jengo, hata kama SA watajenga refu zaidi, bado hilo la Nairobi litakua na sifa zake kama vile urembo, uzuri wa ndani(interior) na bado litakua refu hapa EA na litakua na sifa ya hoteli ndefu zaidi Africa nzima ..kwahivyo bado litakua na sifa tele so haijalishi, bado wakulima na wafanyikazi mia kadhaa ndani ya hayo majengo watafaidika, kwa kazi na pia kuuza bidhaa zao... tena isitoshe kwavile kila baada ya miezi miwili kuna jumba lipya linaanza kujengwa, mafundi na wajenzi wanapata kazi mfululizo..

Wakulima kama hawa- hivi unajua kwamba Kenya wanakunywa maziwa kuliko nchi yoyote ya developing world? wakulima wadogo wadogo (ambao ni 80% ya wakulima wote) wanakusanya maziwa na kuuzia kampuni au hoteli kubwa kubwa ..

ANGALIA hio video uone vile maziwa yanatoka kwa mkulima mdogo kabisa kutoka mashambani hukoo ndani ndani na yanafika hadi kwa miji mikuu nchi nzima

Ok brother, hata huku tz kampuni kama Azam, Asas na Tanga fresh hukusanya maziwa kutoka kwa wananchi nchi nzima na tunayapata hapahapa mjini bila shida.. and as I said there is nothing new considering that scenario.

Nilitaka watu washughulishe akili zao na wajiulize, je haya majengo marefu yana tija tukizingatia uchumi wa watu wa chini in general?.. I mean je sera za serikali zetu kwenye ishu kama makazi zinazingatia uwiano sawa wa makazi ya bei rahisi na haya ya kifahari, je majengo marefu yanayoinuka kila siku mjini yanaenda sambamba na upatikanaji wa makazi bora na ya bei nafuu kwa watu wa chini maeneo ya mijini?

Naogopa sana pale ambapo tutakuwa na oversupply ya skyscraper na undersupply ya ordinary homes na tukaishia kwenye ghost cities kama China.

Kuhusu construction jobs hazitakuja kuisha as long as Afrika bado inajengwa.. swala la kujiuliza wanamjengea nani?
 
World's largest construction company to build Africa's tallest development
Quote:
Oil marketing firm Hass Group announced today that it has signed a 20 billion Kenya shilling agreement to build the tallest building in Africa with China State Construction Engineering Corporation (CSCEC), currently ranked the largest construction company in the world, Hass Towers, a mixed use development is set to be complete in 2020, and be located Upper Hill, Nairobi.

The Honourable Mr John O. Odipo, the Counsellor of Kenya’s Embassy in China, and the Commercial Counsellor of Kenya’s Embassy in China, The Honourable Mr Vincent E. Omuse attended the official signing ceremony held at the five-star Kempinski Hotel, Beijing, on 28 February.

Also attending the signing ceremony were the Chairman of Hass Petroleum Group, Mr Abdinassir Ali Hassan; Vice Chairman and Co-Founder of White Lotus Inc., Mr Sita Ramachandra Raju Poosapati; Vice President of CSCEC Overseas Operations, Mr Li Mingguang; and Vice President of CSCEC Overseas Operations, Mr Zhang Zhiping.

In his speech, Mr Hassan, Hass Group Chairman, described the signing as an ‘historic’ event andcongratulated CSCEC on winning the contract after a long negotiation and tender process. He said: “It has not been an easy road. [CSCEC] went through a rigorous tender system which they won over ten international companies including European, Turkish as well as other Chinese competitors.

“Hass Group awarding the contract to CSCEC demonstrates a stronger growing economic partnership between the Chinese government and the Kenyan government, and is a testament to Kenya’s economic and political stability. This project will give CSCEC a majestic entry point into Africa.”

Mr Li Mingguang, Vice President of CSCEC Overseas Operations said: “This will be the tallest building in Africa and become a landmark in Kenya. It is sure to drive regional development, promote economic growth, and attract more investment and tourism into Kenya. China State Construction understands the importance of this grand project and is honoured to be chosen as the main contractor.”

Construction of the foundations for Hass Towers is due to start in April this year, when the project will officially launch in Kenya. Once complete, the development will include Grade A offices, a five-star Hilton hotel, plus a luxury retail and entertainment complex. Standing over 300 metres high with 67 storeys, the tallest tower is designed to represent ‘the height of African achievement’, considerably taller than the current record holder, the Carlton Centre in South Africa (at 50 floors and 223 m tall).

Kenya is one of Africa’s fastest growing economies with strong growth in its agricultural, tourism, construction and telecommunication sectors. The project is conveniently located just 16km from Jomo Kenyatta International Airport, in Nairobi’s growing financial hub of Upper Hill, where many embassies and international organisations have set up their regional offices. These include Cisco Systems, World Bank and the IMF.
link http://www.africanbusinessreview.co.za/finance/2758/World's-largest-construction-company-to-build-Africa's-tallest-development
 
Well underway as of January 2017!

32015825822_f4a5576c23_b.jpg

32164225875_412cc2976d_b.jpg

31789353270_81e5c98536_b.jpg
 
where is the site for this?

Junction of Heille Selassie and Lowerhill Road, 90 M from Hass. Have you ever seen a lot of eucalyptus opposite Uhuru park, along Selassie??? Many are coming down as we speak, there were some white 3 floor flat/Bungalows that are under demolition also
 
New perspective and an exciting location REVEALED!!
The height of African achievement World's largest construction company to erect Africa’s tallest building in Nairobi
  • Published: 09.03.2017
  • George Tubei
Once complete, this record-breaking mixed use development designed to represent ‘the height of African achievement’ will stand at over 300 metres high with 67 storey, effectively becoming the tallest tower in Africa.

play An image of Hass Towers, that will be the tallest building in Africa once complete. (SkyscraperCity)

Hass Group has today announced that it has signed a $ 200 million agreement with China State Construction Engineering Corporation (CSCEC) to construct the tallest building in Africa.
CSEC which is currently ranked as the world’s largest Construction Company plans to construct the tallest building in Africa in Nairobi’s business district of Upper Hill.

Speaking at the signing ceremony that was held at Kempinski Hotel in Beijing, Chairman of Hass Petroleum Group, Mr Abdinassir Ali Hassan described the signing as a ‘historic’ event and congratulated CSCEC on winning the contract after a long negotiation and tender process.

“It has not been an easy road. CSCEC went through a rigorous tender system which they won over ten international companies including European, Turkish as well as other Chinese competitors. Hass Group awarding the contract to CSCEC demonstrates a stronger growing economic partnership between the Chinese Government and the Kenyan Government, and is a testament to Kenya’s economic and political stability. This project will give CSCEC a majestic entry point into Africa.” He said

play Hass Group and CSCEC sign a Sh. 20 Billion deal to in Beijing last week for the construction of Africa’s tallest building to be put up in Nairobi’s Upper Hill Area. Construction is set to start in April 2017. (sokodirectory)

Mr Li Mingguang, Vice President of CSCEC Overseas Operations added the project will put Kenya on the global map.

“This will be the tallest building in Africa and become a landmark in Kenya. It is sure to drive regional development, promote economic growth, and attract more investment and tourism into Kenya. China State Construction understands the importance of this grand project and is honoured to be chosen as the main contractor.” He said.

The signing ceremony was attended by high dignitaries including the Counsellor of Kenya’s Embassy in China, Mr John O. Odipo, Vice Chairman and Co-Founder of White Lotus Inc., Mr Sita Ramachandra Raju Poosapati and Vice President of CSCEC Overseas Operations, Mr Zhang Zhiping among others.

play The location of the project is ideal as Nairobi growing financial hub, Upper Hill is conveniently located just 16km from Jomo Kenyatta International Airport. (courtesy)
Hass Towers, an iconic mixed use development is set to open its doors in 2020, in Nairobi’s business district of Upper Hill. Construction of the foundations for Hass Towers is due to start in April this year, when the project will be officially launched in Kenya.

Also read : Kenya tops with the highest number of mega projects in E Africa

Once complete, this record-breaking mixed use development project, designed to represent ‘the height of African achievement’ will stand at over 300 metres high with 67 story’s, effectively becoming the tallest tower in Africa; considerably taller than the current record holder, the Carlton Centre in South Africa (at 50 floors and 223 m tall).

The building will boost of facilities such as Grade A offices, a 5-star Hilton hotel, plus a luxury retail and entertainment complex.

play The Hilton Nairobi, standing tall since 1969. once complete the tallest building in Africa will boost of facilities such as Grade A offices, a 5-star Hilton hotel, plus a luxury retail and entertainment complex. (jamiiforums)

Kenya is one of the fastest growing economies in Africa and the world thanks to strong agricultural, tourism, construction and telecommunication sectors.

The location of the project is ideal as Nairobi growing financial hub, Upper Hill is conveniently located just 16km from Jomo Kenyatta International Airport and already international organizations and embassies such as World Bank and the IMF have set up their regional offices there.
 
4 towers,one location.
Hass tower will be barely less than 200m distance from this titanic development
MONTAVE UPPER HILL.40 FLOOR & 30 FLOOR.

PnRkkbf.jpg

__________________
28745765106_271c80caaf_b.jpg

28671982042_6110befdd8_b.jpg

28700285681_a6bfd15103_b.jpg

28777242135_8d2df1f0c6_b.jpg

28159838494_b06d3196ef_b.jpg

28777172965_4e0de844ac_b.jpg

__________________EXCITING LOCATION
On another note, seems they decided to hype up the project more by fencing the Plot with their Billboard.

29139704971_a45dff4682_b.jpg

__________________
 
Woow that place nakumbuka eucalyptus ilikuwa imejaa sana.. Ilikuwa inakaa ugly kiasi..... BTW ukiteremka chini kiasi utaona golf course flani sijawai ona mtu akicheza.. Ningependa hiyo land something else ijengwe hapo... Like scate Park hivi
 
Eeeh, that golf course is very busy, you can hardly see as there are very many trees. If you use Lower hill road, past the site of Montave, Before Rahmitullah Gate peep through the trees, you will see guys playing golf especially on weekends
 
Ngoja nianze Real estate business labda jengo langu mtakuja post humu.
 
Prior to selection of the main contractor,huge piles had already been cast,deep over 30 metres where the super tall skyscraper will be planted.This happened in the last quarter of 2016.
28904565346_fd500077d9_b.jpg

28650899670_8538ee74d4_b.jpg

28831579992_48650a8525_b.jpg

28831585952_4de4a972e3_b.jpg

28320565593_84f5bdcbc9_b.jpg

__________________And the foundation only is having a 5 storey structure planted down the huge upper hill rocks
Indeed the structure is built on a rock,to stand timeless for the years to come.

Geotechnical,civil & Structural Lab Services .....
they offered:
-Geotechnical services
-Core drilling
-Core testing
-Geotechnical report
- Grout design
- Grout testing

28904547236_375a6ed607_b.jpg

28860126351_717da8efda_b.jpg

28860129101_17347bd7aa_b.jpg

28650895530_7d6b6abb8d_b.jpg

28860140901_2cb89bbc6e_b.jpg

__________________
 
The site is quite ready and when construction starts, it will be three floors per month if they will go the usual frame first
 
Back
Top Bottom