SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Liliitwa Kombe la WashindiMwaka 93 fainali na Stella ya Ivory coast wakati huo kulikuwa haliitwi kombe la Shirikisho
Uwezo wako ndio umeishia hapo. Ulidhani ni Baba yake mzazi na tumekufundisha hapa kua sio babake mzazi, kubali tu kua kuna kitu umejifunza, hautopungukiwa na kitu wala hutoonekana Mbumbumbu.Sasa na nyie mbona mnakomaza shingo....! Baba sio lazima awe mzazi ...!
Wachangiaji wengi Sana wanapolizungumzia suala hili la Dewji hulihusisha na ahadi ya Ubingwa. Usahihi ni kwamba aliahidi ikifika fainali. Na ilifika, na wachezaji walipewa KIA zao lakini baada ya muda Sana, kutokana na kuvutana na Serikali yeye alitaka asamehewe ushuru wa importation, Serikali akaweka ngumu. Nakumbuka utawala wa awamu ya pili.Kabla ya kuanza michuano hii Simba ilienda kupiga kambi Ufaransa, jiji la Nice. Wakati huohuo hapa Bongo kulikua na nyembe/wembe fulan hivi zilikua zikiitwa Nice ndo zilikua zikitamba (Ukiacha Topaz). Basi ikawa utani kiua Simba wamekuja na Wmbe wa Nice ambao unakata kila kitu, maana kila aliekutana Simba those days alikua akichezea kichapo tu.
(Inasemekana) kama sio Mfadhili Azim Dewji kuona ataingia hasara ya kutoa zawadi ya KIA (Chai Maharage) 30 alizoahid kama zawadi endapo Simba wangechukua Ubingwa huo akaamua kuhonga wachache wafungishe ingekua historia leo kua Simba ishawahi kutwaa Ubingwa wa Africa.
Chama ni liability,mzuri timu ikiwa na mpira,yupo slowChama anaweza kuing'arisha timu ya Simba pasipo uhitaji wa Bwalya, lakini Bwalya hawezi kuing'arisha Simba bila uwepo wa Chama. Chama ndio injini ya Simba
Baada ya timu 2 iliyokuwa ikutane nazo kujitoa kwa sababu za kifedhaAchana na hatua ya makundi, Simba hii hii huko nyuma imeshawahi fika fainali Kombe la shirikisho...sina hakika kipindi hicho ulikuwa wapi?