Larry Bwalya anauweka majaribuni Ufalme Chama..!

Larry Bwalya anauweka majaribuni Ufalme Chama..!

Sasa na nyie mbona mnakomaza shingo....! Baba sio lazima awe mzazi ...!
Uwezo wako ndio umeishia hapo. Ulidhani ni Baba yake mzazi na tumekufundisha hapa kua sio babake mzazi, kubali tu kua kuna kitu umejifunza, hautopungukiwa na kitu wala hutoonekana Mbumbumbu.
 
Kabla ya kuanza michuano hii Simba ilienda kupiga kambi Ufaransa, jiji la Nice. Wakati huohuo hapa Bongo kulikua na nyembe/wembe fulan hivi zilikua zikiitwa Nice ndo zilikua zikitamba (Ukiacha Topaz). Basi ikawa utani kiua Simba wamekuja na Wmbe wa Nice ambao unakata kila kitu, maana kila aliekutana Simba those days alikua akichezea kichapo tu.

(Inasemekana) kama sio Mfadhili Azim Dewji kuona ataingia hasara ya kutoa zawadi ya KIA (Chai Maharage) 30 alizoahid kama zawadi endapo Simba wangechukua Ubingwa huo akaamua kuhonga wachache wafungishe ingekua historia leo kua Simba ishawahi kutwaa Ubingwa wa Africa.
Wachangiaji wengi Sana wanapolizungumzia suala hili la Dewji hulihusisha na ahadi ya Ubingwa. Usahihi ni kwamba aliahidi ikifika fainali. Na ilifika, na wachezaji walipewa KIA zao lakini baada ya muda Sana, kutokana na kuvutana na Serikali yeye alitaka asamehewe ushuru wa importation, Serikali akaweka ngumu. Nakumbuka utawala wa awamu ya pili.
 
Chama anaweza kuing'arisha timu ya Simba pasipo uhitaji wa Bwalya, lakini Bwalya hawezi kuing'arisha Simba bila uwepo wa Chama. Chama ndio injini ya Simba
Chama ni liability,mzuri timu ikiwa na mpira,yupo slow
 
Back
Top Bottom