Mbaya zaidi anajitambulisha kuwa amesomea uandishi habari 😂Kwa anachokifanya msigwa na genge lake, huko mbeleni journalist from Tanzania kuja kupata kazi kwenye vyombo vya habari vya kimataifa itakuwa kazi sana.
Mbona waandishi wa kimataifa wengi sana wana majina ya kisukuma? Madowo pronounsiation (madob'ho) 😆😆
Kali P_Imekaa vibaya.
Jamani tunategemea majibu gani kutoka kwa hao mumiani wauaji wakubwa?Jamaa yupo sahihi kucheka mana serikali inazidi kuwa kituko.
Mtu anaandaa press badala ya kuja na majibu yeye anakuja kuongeza maswali, nilitegemea angekuja na kauli ya serikali khs Yaliyotokea siku ya uchaguzi, Ila yeye amekuja na ngonjera.
Hata akifufuka Nyerere kuja kutolea maelezo mauaji yale, hakuna mtu atakayemuelewa.Jamani tunategemea majibu gani kutoka kwa hao mumiani wauaji wakubwa?
Ushasikia wapi duniani jambazi na uaji halafu linafanya kazi ya kuchunguza tuhuma na mauaji lililoyafanye lenyewe?
Sawa tunaweza kuwa tunasubiri ngonjera tamu kama muziki za utetezi zitakazotuliwaza, je ni nani mtaalamu wa kuweza kutunga uongo mtamuwa kuudanganya umma muda wote, na wakaridhika yupo?
Hivi akinyamaza kuna mtu atamlazimisha kuongea?
Wewe hupajui?Mwambieni aje atupeleke kwa kondo wakafukue kaburi la halaiki
Sehemu iliyobaki kukanusha ni moja tuu 'sheikh Sharifu Majini na Master Tindwa hawakupigwa risasi'.Kumbe huyo ndo yule Nyumbu aliesababisha wakulima tuogope kulima mashamba yetu maana akiona tu shamba limepaliliwa anapeleka taarifa CNN kuwa ni kaburi la halaiki
anaonekana anaenda kutupia mzigo mwingine soon aone watakuja na ngonjera gani
Anatawala INZI!October 2025, walikufa inzi wengi, au siyo. Haya, tuko dakika ya 15 ya mechi ya mpira.
Madowo asicheke tu ale na porpcorn kabisa
Wamekiri Watanzania wameua ila vyombo vya habari visizambaze habari hizo ili kusababisha taharukiKwani serikali imesemaje
Ahaaa basi sawaWamekiri Watanzania wameua ila vyombo vya habari visizambaze habari hizo ili kusababisha taharuki
Amini ushahidi usiamini mtu wala kikundi tu cha watu, sasa mpaka muda huu unaamini nini kwa serikali yako, ni kwamba waliyouliwa ni wageni sio watanzania? Au hizo video za mauwaji ni fake?Niache kuiamini Serikali yangu nimuamini Mkenya Madowo??
Madowo sio credible source tayari ana interest maana anatokea Taifa shindani na sisi.Amini ushahidi usiamini mtu wala kikundi tu cha watu, sasa mpaka muda huu unaamini nini kwa serikali yako, ni kwamba waliyouliwa ni wageni sio watanzania? Au hizo video za mauwaji ni fake?
Mshikaji nilikaa naye sehemu akasema serikali yenu inajitomber tu
Mshikaji nilikaa naye sehemuakasema serikali yenu inajitomber tu
Niache kuiamini Serikali yangu nimuamini Mkenya Madowo??