Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,914
Ndio maana nakusisitiza wewe amini ushahidi usiamini mtu au kikundi cha watu, kwa sababu hata hiyo serikali yeye ndio anatuhumiwa na hayo mauwaji sasa unategemea utamuani nae maelezo yake?Madowo sio credible source tayari ana interest maana anatokea Taifa shindani na sisi.