Ndio maana nakusisitiza wewe amini ushahidi usiamini mtu au kikundi cha watu, kwa sababu hata hiyo serikali yeye ndio anatuhumiwa na hayo mauwaji sasa unategemea utamuani nae maelezo yake?Madowo sio credible source tayari ana interest maana anatokea Taifa shindani na sisi.
We si khumaNiache kuiamini Serikali yangu nimuamini Mkenya Madowo??
Wameshangaza sana yaaaniAthari za kufungia media za ndani .Halafu waandishi wote wanauliza maswali ya SGR🚮
Kayasema lini haya
Ogopa Mungu na teknolojia
***** kwenye Moja na mbiliKumbe huyo ndo yule Nyumbu aliesababisha wakulima tuogope kulima mashamba yetu maana akiona tu shamba limepaliliwa anapeleka taarifa CNN kuwa ni kaburi la halaiki