Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Anaogopa kutekwa na samuyaSi kaambiwa aje,yeye na aljazeera, BBC..aje
Zilialikwa media zote,aache uwongo,ye aje atupeleke kwa kondo kwenye kaburi la halaikiCNN wasingeweza kuwa control nini cha kuwauliza au cha kusema
Mambo mrembo ?Zilialikwa media zote,aache uwongo,ye aje atupeleke kwa kondo kwenye kaburi la halaiki
Mambo ganiMambo mrembo ?
Mumteke.?Si kaambiwa aje,yeye na aljazeera, BBC..aje
Hutaki hata salimiwa mrembo ?Mambo gani
Huyo ni mwanaume sio mwanamke Yuko Kwa ajili ya matumizi maalum ya AbduliMambo mrembo ?
Zaidi ya kulalamika hakuna kitu ambacho serikali imekanusha kuhusu report ya CNNZilialikwa media zote,aache uwongo,ye aje atupeleke kwa kondo kwenye kaburi la halaiki
Mwambieni kaambiwa ajeZaidi ya kulalamika hakuna kitu ambacho serikali imekanusha kuhusu report ya CNN
Hapa ukonga heriHutaki hata salimiwa mrembo ?
Habari za hapo ulipo
Zilialikwa media zote,aache uwongo,ye aje atupeleke kwa kondo kwenye kaburi la halaiki
Kama msigwa alivyoongopa.Zilialikwa media zote,aache uwongo,ye aje atupeleke kwa kondo kwenye kaburi la halaiki
Msigwa angekuja na data zinazo kanusha report ya CNN sio maneno matupu, ukituhumiwa kitu unatakiwa kukanusha kwa evidence sio kusema una singiziwa bila supporting documentMwambieni kaambiwa aje
Shida nini!?.. walisema serikali haitoi ushirikiano,japo msigwa kakataa, lakini sasa serikali imewaita,waende,wakaoneshe na kaburi la halaiki kwa kondoMsigwa angekuja na data zinazo kanusha report ya CNN sio maneno matupu, ukituhumiwa kitu unatakiwa kukanusha kwa evidence sio kusema una singiziwa bila supporting document
🥰🥰Hapa ukonga heri