bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,880
- 24,933
Serikali ndio inatakiwa ku prove kua Kondo hakuna hicho kitu mbele ya watu kama ambavyo CNN wametoa hio habari publicShida nini!?.. walisema serikali haitoi ushirikiano,japo msigwa kakataa, lakini sasa serikali imewaita,waende,wakaoneshe na kaburi la halaiki kwa kondo