bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 10,880 Reaction score 24,933 Nov 24, 2025 #21 gallow bird said: Shida nini!?.. walisema serikali haitoi ushirikiano,japo msigwa kakataa, lakini sasa serikali imewaita,waende,wakaoneshe na kaburi la halaiki kwa kondo Click to expand... Serikali ndio inatakiwa ku prove kua Kondo hakuna hicho kitu mbele ya watu kama ambavyo CNN wametoa hio habari public
gallow bird said: Shida nini!?.. walisema serikali haitoi ushirikiano,japo msigwa kakataa, lakini sasa serikali imewaita,waende,wakaoneshe na kaburi la halaiki kwa kondo Click to expand... Serikali ndio inatakiwa ku prove kua Kondo hakuna hicho kitu mbele ya watu kama ambavyo CNN wametoa hio habari public
Driver proffesional JF-Expert Member Joined Feb 18, 2022 Posts 1,264 Reaction score 2,910 Nov 24, 2025 #22 gallow bird said: Si kaambiwa aje,yeye na aljazeera, BBC..aje Click to expand... Sasa wewe mjinga aje vip wakati mualiko hamjawapa?
gallow bird said: Si kaambiwa aje,yeye na aljazeera, BBC..aje Click to expand... Sasa wewe mjinga aje vip wakati mualiko hamjawapa?
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 10,880 Reaction score 24,933 Nov 24, 2025 #23 Driver proffesional said: Sasa wewe mjinga aje vip wakati mualiko hamjawapa? Click to expand... Anadhani CNN wanabwebwa kwenye malori kama wanavyo beba watu kwenye mikutano yao
Driver proffesional said: Sasa wewe mjinga aje vip wakati mualiko hamjawapa? Click to expand... Anadhani CNN wanabwebwa kwenye malori kama wanavyo beba watu kwenye mikutano yao