joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hivi unajua tofauti Kati ya UNACTAD na na UN, ni sawa na kulinganisha cheo cha naibu rais na katibu mkuu wa wizara ya fedha. Umemsahau Prof. Tibaijuka alivyowatawala hapo Nairobi Kama mkrugenzi mkuu wa UNhabitat?Mkenya Mukhisa Kituyi amekuwepo UNCTAD kama Secretary General, sio huo unaibu unaoungumzia. Tena kwa muda mrefu, tangia mwaka wa 2013 hadi mwaka huu. Jikite kwenye mada, achana na majigambo ya peni mbili. Mukhisa Kituyi | UNCTAD