Commercial Google Map ni biashara tofauti kabisa na ile alikochukua CNN. Hupati latest satellite imagery kutoka Google Map ( commercial or otherwise ). Commercial Google map imagery zake hazina tofauti na hizo unazoziona mwenyewe uki-google location. Ni za zamani.Through commercial Google Map you can obtain those images. Why he did not use commercial Google Map if he was really investigating the incident?
You are blowing hot and cold dude. Hata angesema mashirika 30 yote ya habari ni FAKE news na CNN ikiwepo, zitabakia FAKE tu. Two wrongs don't make one right.Jipe moyo tu wewe punda, Donald Trump hakuita CNN peke yake fake news, aliita Main stream media zote fake news isipokuwa Fox news, acha kupumbaza watu wewe fala. Rupert Murdoch mmiliki wa Fox News kwa sababu Fox NEWS ni yake na ni rafiki ya Trump ndiyo hakuitwa fake news. By the way CNN ndio walioweka wazi kashfa yake ya Hush money aliyomlipa Stormy Daniels kiasi cha Dollar 136,000. Sasa fake news gani ilimpeleka mahakamani na ikathibitishwa makosa yake yote 36 aliyafanya, kubwa zaidi ni kumhonga huyo kahaba.
Usifikiri utawadanganya watanzania wa leo? Mpumbavu wewe na fala mkubwa unayedanganywa na Gerson Msigwa kuiweka CNN chini, it is very shit idea that you are being paid for writing here in JF kutetea maovu ya akina Msigwa. Shame on you!
Kwa hiyo kilicho andikwa ni uongo au ukweliI was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...
my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.
My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.
CC Pascal Mayalla
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kwahiyo alichoreport hakikutokea? Au kwakuwa siyo filed yake basi hakupaswa kureport chochote? Tupe huo wasifu wake hapa tuuchambue.I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...
my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.
My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.
CC Pascal Mayalla
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
So what do u want to analyse..theres any quarry regarding his report on october 29I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...
my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.
My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.
CC Pascal Mayalla
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...
my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.
My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.
CC Pascal Mayalla
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kwani mama Samia wakati anahutubia bunge alitoa pole kwa akina nani? Na ya nini?Ni kweli kafanya na akina Rachel dangwa ,Mange kimambi ,Hilda Newton,Sativa na Maria Tsehai mathink tank wa Gen z
So what? Mliua au hamkuua? Na nyinyi manywinywinywi ni majinga hadi kiama, ungejisumbua tu kidogo kufahamu hiyo report imeandaliwaje usingepoteza muda kuandika uharo huu🤮🤮🤮🤮I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...
my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.
My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.
CC Pascal Mayalla
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
kama ni mimba ndiyo ishanasa sasa utafanyaje zaidi ya kutafuta ukwajuI was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...
my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report about Tanzania Election violance.
My Take :he is just a puppet paid for economic espionage against United Republic of Tanzania.
CC Pascal Mayalla
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Investigative team ya cnn, ipo sana tuamefanya na nani nigoogle?nyie vijana mna mtandao ila hamtumii kwa weledi!
Mkuu, hivi wadhani ni yeye ndie aliekuwa akiongoza huo uchunguzi.Through commercial Google Map you can obtain those images. Why he did not use commercial Google Map if he was really investigating the incident?
Mwaka 1998 CNN ndo walikuwa watu wa kwanza kuja Tanzania baada ya lile bomu lilolipuka Ubalozi wa Marekani pale Kinondoni.Kwahyo wewe unadhan ile ni kazi ya Larry pekee. Nyie watu mbona mnaakili fupi sana!
🤣🤣🤣Mtaongea mpaka kifilisti mwaka huu
Na kwa kuongezea hadi dakika hii tunapoandika hapa zipo kampuni zaidi ya 100 za kimataifa zenye uwezo wa kuchukua picha za satellite.Una hakina unajua
Commercial Google Map ni biashara tofauti kabisa na ile alikochukua CNN. Hupati latest satellite imagery kutoka Google Map ( commercial or otherwise ). Commercial Google map imagery zake hazina tofauti na hizo unazoziona mwenyewe uki-google location. Ni za zamani.
Badala ya kujiuliza kwa nini unaongozwa na mtu ambaye hana taaluma yoyote (hata upishi) ile zaidi ya Div 4 ya kidato cha nne, wewe unauliza kuhusu mtu aliye kwenye taasisi yenye kila aina ya rasilimali watu!!??I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert...